- Ambapo umepewa mdokezo wa kuanzia (xxx…) au kumalizia (…xxx) k.m. ‘…tangu siku hiyo alikula yamini kutopuuza ushauri wa wazazi wake tena'
- Mtahiniwa anatarajiwa kubuni kisa kizuri ili: Amalizie/Kutanguliza kwa maneno hayo. Anayekosa kumalizia/kuanzia kwayo amejitungia swali atuzwe D 02/20 au 03/20
- Anayeongeza maneno chini ya matano, achukuliwe kuwa na kosa la mtindo na akadiriwe ifaavyo.
Anayekata au kusahau maneno chini ya maneno achukuliwe kuwa na kosa la kimtindo; akadiriwe ifaavyo - Kisa cha mtahiniwa sharti kionyeshe mhusika aliyepitia hali inayoelekezwa na maneno hayo
- Asiyezingatia nafsi iliyo kwenye dondoo atuzwe D 02/20 au 03/20
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Insha ya Mdokezo - Kiswahili Insha Notes.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students