Insha ya Mazungumzo - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
  • Maongeo ya kawaida ambayo huandikwa kama tamthilia baina ya watu wawili au zaidi
  • Kichwa huanza kwa maneno
    MAZUNGUMZO BAINA YA…


Muundo

  • Kichwa
  • Jina la msemaji kwa herufi kubwa likifuatwa na koloni
  • Maneno ya msemaji
  • maelezo ya mandhari na vitendo vya msemaji kwenye mabano
  • Wazungumzaji wasikike kama watu wa kawaida
  • Pawepo na sentensi ndefu na fupi
  • Matumizi ya vihisishi
  • Ukatizaji wa maneno.
  • Ni lazima wahusika katika mazungumzo wajitokeze vizuri na sifa zao zitambulike.
  • Hatutarajii watu katika mazungumzo wawe na fikira moja na usawa katika mapendekezo yao.
  • Ukinzani au tofauti ya uteuzi wa maneno kati ya usemi wa mzungumzaji mmoja na mwengine ni lazima ijitokeze.
  • Mazungumzo yanaweza kuwa ya kutafuta suluhisho baina ya pande mbili zinazozozana kama vile mama na bintiye; kupanga jambo fulani, n.k
  • Insha ya Mazungumzo huandikwa katika usemi halisia, huku wasemaji wakionyeshwa kama vile mchezo wa kuigiza.


Mfano wa Insha ya Mazungumzo

MAZUNGUMZO BAINA YA MWALIMU MKUU, MWANAFUNZI NA BABAKE KUHUSU NIDHAMU YA MWANAFUNZI HUYO.

Mwalimu: Bwana Juma, nimekuita umchukue mtoto wako ukamsomeshe katika shule nyingine kwa maana amtushinda sisi.
Mzazi: Ikiwa amewashinda na ninyi ndio mlio na kiboko, si ataniua mimi! Hata mimi simtaki kwa maana simwezi. Hawezi kuja kwangu
Juma: Nimesema sitaki kusoma! Nimechosha na mtindo huu…
Mzazi: (akikunja shati)...
Join our whatsapp group for latest updates

Download Insha ya Mazungumzo - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest