- Mazungumzo yanayoendeshwa kwa muundo wa maswali na majibu(kudadisidadisi)
Muundo
- Kichwa
- Kichwa kizuri kitaje:
- Ni Mahijianokati ya nani na nani?
- Kuhusu nini?
- Wapi?(ingawa si lazima)
- mfano
MAHOJIANO BAINA YA WAZIRI WA USALAMA NA MWANAHARAKATI(BW. KALINDE) AFISINI MWAKE
- Kichwa kizuri kitaje:
- Utangulizi
- mwanafunzi awafanye wahusika wake kuamkuana
- Mmoja(mwenyeji) amkaribishe mwenzake
- Watangulize mada/sababu ya mahojiano yao
- Mwili
- Hoja zote zijumuishwe kwenye mahojiano huku wahusika wote wakishirikishwa vilivyo na kuonyesha umahiri wao wa mada.
- Hitimisho
- Hitimisho idhihirike ; aidha kwa muhtasari wa waliyokuwa wakizungumzia au
- Shukrani na kuagana
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Insha ya Mahojiano - Kiswahili Insha Notes.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students