Matangazo - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Majulisho kuhusu jambo fulani.


Arifa

SHULE YA UPILI YA GATWE

Anwani, tarehe

USAJILI WA …

Sahihi

Jina

CheoKibiashara

Sifa

 • Lugha kwa kifupi
 • Chuku
 • Takriri
 • Alama ya (!) na (?)
 • Michoro
 • Maonyo
 • Maelezo kukihusu
 • Kinavyotumika
 • Ubora wake
 • Watengenezaji
JINUNULIE UNGA WA MAHINDI WA JAMBO
JAMBO SIKU YA LEO. UNGA WA JAMBO UMEONGEZEWA VITAMINI
NA MADINI MUHIMU. BEI IMEPUNGUZWA KUTOKA SHILINGI 120
HADI SHILINGI 90. JIPAPIE PAKITI YAKO LEO KABLA BEI HII KUACHA KUTUMIKA


Kifo

TANGAZO LA KIFO

Tunasikitika kutangaza kifo cha …Alikuwa…
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponiKazi

SHULE YA UPILI YA GATWE

Anwani, tarehe

NAFASI YA KAZI YA UHASIBU

SIFA ZA MWOMBA KAZI

JINSIA

 • Awe wa jinsia ya kike.

UMRI

 • Awe na umri wa miaka isiyopungua25 na isiyozidi 40.

ELIMU

 • Awe na shahada ya uhasibu kutoka chuo kikuu au awe na shahada ya diploma ya juu ya uhasibu
 • Awe amepata alama ya c katika kingereza

KAZI

 • Kuidhinisha hati za malipo za shirika
 • Kusimamia shughuli za uhasibu katika idara inayohusika

UZOEVU/TAJRIBA

 • Awe na uzoevu wa kazi usiopungua miaka 5 kwenye shirika au taasisi kubwa.

DINI

 • Awe muumini wa dini ya kikristu na awe ameokoka.

MUDA WA KAZI

 • Kuanzia saa mbili hadi saa kumi na moja jioni na masaa mengine ikibidi.

MSHAHARA

 • Mshahara utategemea elimu ya anayehusika lakini utakuwa baina ya ksh 24,000 na ksh 45000.

MAELEZO YA ZIADA

 • Maombi yote yawe yamewasilishwa kabla ya tarehe 30 mei 2010.
 • Maombi yatumwe kwa: 

  Katibu,
  Halmashauri ya shule ya upili ya Gatwe,
  Anwani

 • Maombi yatakayopelekwa baada ya muda wa mwisho hayatajibiwa.
 • Maombi yaandamane na hundi ya shilingi elfu moja ambazo hazitarejeshwa.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Matangazo - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest