Hojaji - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp


Utangulizi

 • Hojaji ni maswali ambayo hutumiwa kama msingi wa kufanyia utafiti na huelekezwa kwa mhojiwa.


Aina

Hojaji Wazi

 • Hojaji yenye maswali ambayo mhojiwa anaruhusiwa kuyajibu kwa maneno yake mwenyewe.

UCHAGUZI NA VIONGOZI

 1. Una maoni gani kuhusu uchaguzi wa kila baada ya miaka mitatu?
  ………………………………………………………………………………………………………………………
  …………………………………………………
 2. Kwa nini una maoni hayo?
  ………………………………………………………………………………………………………………………
  …………………………………………………
 3. Wewe ungependelea utaratibu gani wa uchaguzi?
  ………………………………………………………………………………………………………………………
  …………………………………………………
 4. Je ni kweli viongozi hung'ang'ania mamlaka?
  .............................................................................................................................
  .............................................................................................................................
 5. Je viongozi hung'ang'ania uongozi kwa sababu zipi?
  1. …………………………………………………………....………………………
  2. ……………………………………………………………………………………
  3. ……………………………………………….….…………………………….….

Hojaji Funge

 • Hojaji ambapo mhojiwa anapewa majibu kadha ambayo anatakiwa kuchagua mojawapo bila kuwa na uhuru wa kuandika atakayo.

MATATIZO YA KIJAMII

Tia alama kwenye jibu unaloafiki

 1. Jamii yetu inawakandamiza wanawake?
  Ndiyo ( ) La ( )
 2. Tatizo kubwa la jamii yetu kwa sasa ni umaskini na ugonjwa.
  Kweli ( ) Si kweli ( )
Join our whatsapp group for latest updates

Download Hojaji - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest