Insha ya Resipe - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
  • Jumla ya hatua na kanuni ambazo hufuatwa na mtu anapopika au kuandaa kitu mlo/kinywaji.


Muundo

Sehemu muhimu za resipe ni:

  1. Kichwa- Jina la mlo unaoandaa, Idadi ya watu wanaopikiwa
  2. Orodha ya viungo unavyohitaji- majina ya viungo, Idadi au kiasi kinachohitajika
  3. Maagizo/namna ya kupika
  4. Eleza kwa utaratibu kila hatua
  5. Taja wakati utakaotumika katika kila hatua.
  6. Hakikisha kila aina ya viungo ulivyotaja, inajitokeza katika maelezo ya kupika.
  7.  Tamati
  8. Baada ya chakula kuiva, eleza kinaweza kupakuliwa na chakula kipi kinginecho k.v ugali na kitoweo cha kuku

UPISHI WA PILAU

Walengwa/walaji

  • Mipakuo mine (kwa watu wanne)

Viambata

  • Vikombe viwili vya mchele
  • Gramu 25 za mafuta ya majimaji
  • Vijiko viwili vidogo vya pilau masala
  • Nusu kilo ya nyama
  • Vitunguu vinne vya ukubwa wa wastani
  • Vikombe vinne vwa maji

Hatua za Upishi

  • Kaanga vitunguu katika mafuta hadi rangi yake ikaribie rangi ya udhurungi
  • Chemsha nyama pekee hadi ilainike
  • Ongeza nyama kwenye sufuria yenye vitunguu na upike kwa dakika tano
  • Ongeza mchele na uchanganye kwa mwiko
  • Ongeza maji na uache mchanganyiko utokote kwa dakika kumi na tano
  • Pakua pilau ikiwa tayari
Join our whatsapp group for latest updates

Download Insha ya Resipe - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest