- Maandishi ya kuchambua maandishi ya fasihi.
- Mfano wa mambo yanayoweza kuhakikiwa na mtahiniwa tahakiki Kuirejelea Riwaya ya K. Walibora ya Kidagaa kimemwozea
KIDAGAA KIMEMWOZEA
1. Sura
Anwani: Kidagaa Kimemwozea
Mwandishi: K. Wakibora
Mchapishaji: Oxford University Press
Mhakiki: A.G. Rugiha
Bei: shilingi 450 za Kenya
Mada: TAHAKIKI YA RIWAYA YA KIDAGAA KIMEMWOZEA
2. Maudhui
- Baadhi ya maudhui yanayoweza kuhakikiwa na mwanafunzi ni pamoja na:
- Anwani
- dhamira
- maudhui
- wahusika
- uhusika
- mandhari
- mbinu za kisanaa
- tamathali za usemi
- usasa/ukale wa kazi
- Jalada. n.k
TANBIHI:Hapa mwanafunzi anahitaji kujadili iwapo vipengele hivi viliafikiwa na mwandishi wa kitabu au la!
Download Tahakiki - Kiswahili Insha Notes.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students