
Utangulizi
- Maelezo kuhusu mtu, kitu au tukio

Ripoti ya Kawaida
Muundo
- Kichwa (ripoti ya kamati/jopo gani)
- Utangulizi (maelezo mafupi ya jumla kuhusu mada husika)
- Mwili…insha itiririke kulingana na swali
- Hitimisho (matumaini, mwito kwa wengine wajiunge, wajitahidi)
- Ithibati: Ripoti imeandikwa na (jina, cheo/katibu, sahihi, tarehe)

Ripoti Rasmi/Maalum
Muundo Wake
- KICHWA (herufi kubwa na kupigiwa kistrari kirefu kimoja)
- Unaandika nini?
- ripoti ya jopo lipi?
- Kuhusu/ kutathmini?
- Wapi?
- UTANGULIZI/HADIDU ZA REJEA
- Taja ripoti ilihitajika na nani?
- uchunguzi ulifanywa kubainisha nini?
- Nani wanajopo?
Mfano: kutokano na ongezeko la wanafunzi kuacha shule kabala ya kuhitimisha masomo yao,waziri wa elimu bwa Matiangi alichagua jopo la kutathmini na kupendekeza suluhu ya janga hili sugu kwani kilicho na mwanzo lazima kina mwisho, miongoni mwa wanajopo hao ni:- ………Mwenyekiti
- ………Katibu
- ……….Mwekahazina
- ……….mwanachama
- UTARATIBU/MBINU/ HATUA ZA UTAFITI
- Wanakamati walihusisha mbinu zifuatazo ili kupata habari za kutegemea- Kuhoji…
- hojaji ……,
- ilipiga picha za video
- mashauriano
- MATOKEO
- Kamati iligundua kuwa :- ……………….
- ………………
- ………………..
- ………………
- ……………..
- ………………..
- MAPENDEKEZO (suluhisho la shida)
- Ili kupambana na janga hili sugu, kamati/jopo lilipendekeza hatua zifuatazo kufuatwa:- ………………
- ………………
- …………………
- …………………
- …………………
- …………….
- HITIMISHO
- Andika maandishi yanayonuia kuelekea/kuegemea kuwa iwapo mapendekezo yaliyotolewa yatafuatwa basi janga hili litazikwa katika kaburi la sahau - ITHIBATI
Ripoti imeandikwa na:
Katibu……………………………….…………………sahihi………………….tarehe………………………………….
Download Insha ya Ripoti - Kiswahili Insha Notes.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students
Join our whatsapp group for latest updates