Mwongozo wa Chozi La Heri (8)

Sehemu hii imesheheni mwongozo wa Riwaya ya Chozi la Heri. Kuna sehemu zifuatazo katika mwongozo huu: Jalada Ufaafu wa Anwani, Muhtasari, Dhamira na Maudhui, Wahusika na Uhusika, FANI- MBINU ZA LUGHA NA MBINU ZA TAMATHALI/MBINU ZA SANAA , Maswali na Majibu. Unaweza kusoma bure bila malipo kwa kubonyeza viungo vilivyo hapa chini.