Usemi Halisi
- Maneno halisi kama yanavyotamkwa na msemaji.
- Huandikwa bila kugeuza chochote.
- Huanzia kwa herufi kubwa.
- Hunukuliwa kwa alama za usemi ambazo huandikwa zikiwa mbili mbili na moja moja katika dondoo ndogo k.m. “Mwambie ‘ugua pole’ ukimuona,” baba aliniambia.
- Koma hutumiwa mwanzoni au mwishoni mwake.
- Msemaji mpya anapoanza kusema, unapaswa kufungua aya mpya k.m.
Alimuuliza, “Huendi kwa nini?”
“Sikupewa ruhusa,” alijibu Zahara. - Baada ya (?) na (!) na (.) maneno huanzia kwa herufi kubwa k.m. "Lo! Unatoka wapi saa hii?" Aliniuliza.
Usemi wa Taarifa
- Ripoti kuhusu mambo yaliyosemwa na mtu mwingine.
- Si lazima maneno yatokee yalivyosemwa. Yanaweza kubadilishwa mradi ujumbe ubakie ule ule.
- Alama za mtajo, kiulizi na hisi hazitumiki.
- Maneno “kwamba’ na ‘kuwa’ hutumiwa.
- Baadhi ya maneno na viambishi hubadilika k.m.
usemi halisi Usemi wa taarifa -angu
-etu
-enu
-ako
wiki ijayo
kesho
leo
sasa
huyu
hii
ta/ki
ni
na
jana
Lo!
?-ake
-ao
-ao
-ake
wiki iliyofuata
siku iliyofuata
siku hiyo
wakati huo
huyo
hiyo
nge
a
li
siku iliyotangulia
alishangaa
alitaka kujua
Please download this document as PDF to read all it's contents.
Why PDF Download?
- You will have the content in your phone/computer to read anytime.
- Study when offline.(No internet/data bundles needed.)
- Easily print the notes to hard copy.
Either
Click here to download the pdf version of "Usemi Halisi; Usemi wa Taarifa - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes", and read the full contents of this pageOR
OR
