Pata mwongozo wa riwaya ya Bembea ya Maisha Summary Notes iliyoandikwa na Dr Timothy Arege.
Mwongozo huu una sehemu zifuatazo:
Pata mwongozo wote ama sehemu unayotaka kama PDF hapa!!
WhatsApp ama piga numbari hii uweze kupata kitabu hiki leo +254 703 165 909
Bembea ya Maisha ni kitabu kinachotahiniwa katika shule za upili chini ya karatasi ya Kiswahili 3- 102/3.
Pia ni kitabu kilichowekwa cha lazima kwa shule za Sekondari za Kenya chini ya Kiswahili Fasihi.
Kitabu hiki kinazungumzia jinsi maisha yanavyoendelea kusonga mbele na kurudi nyuma kama bembea.
Kwa wale wasiofahamu, tafsiri ya neno bembea kwa kingereza ni 'swing'
Unakumbuka, kile kichezeo ulichozoea kukalia ulipokuwa mdogo na kuomba familia yako au rafiki akusukume ili uweze kuruka juu?
Ulipokuwa juu ulihisi kama unaweza kugusa anga.
Ulipokuwa nyuma ulilazimika kusukumwa mbele.
Hiyo ni angalau hadi ujifunze kujisukuma mbele kwa miguu yako unapokua.
Ahh, sasa umeifahamu?
Kama bado jua kuwa 'bembea' ni kifaa kama vile ubao, kamba au chuma inayoning'inia baina ya chuma au mti ambacho hutumiwa kuchezea aghalabu na watoto.
Kupitia wahusika mbalimbali kama Sara, Yona, Bunju, Neema na wengineo, mwandishi anatuonyesha na kutueleza jinsi wakati mwingine maisha yanavyoweza kujaa furaha na mara nyingine kujaa matatizo yanayosababisha maumivu na huzuni.
Kimsingi, maisha yana panda shuka zake. Wakati mwingine tuko juu na tunahisi kama tunaweza kugusa anga na wakati mwingine tuko chini.
Direct translation -> Basically, life has ups and downs. Sometimes we are up and we feel like we can touch the sky and other times we are back (down).
Mwandishi kwa kutumia sitiari ya bembea pia anatuambia jinsi wakati mwingine kama tu wakati wa kubembea tunahitaji msaada.
Msaada kwa namna ya mtu wa kutusukuma mbele ili bembea letu lisikae palepale.
Baada ya yote, maisha hubadilika.
Hapa unapewa na kuelezewa vigezo muhimu katika uchambuzi wa tamthilia ya Bembea ya Maisha.
Vigezo kama vile;
|
|
|
|
|
|
Muhtasari
Tamthilia ya Bembea ya Maisha sehemu nne.
Pata muhtasari wa sura na maswali mbalimbali ya utabiri kuhusu riwaya ya Bembea ya Maisha hapa.
Kama bonasi; kila muhtasari wa tamthilia ya Bembea la Maisha umetathminiwa, na muhtasari wa tathmini hiyo umetolewa katika Mwongozo wa Easy Elimu.
Dhamira ni lengo la mwandishi.
Dhamira huelezwa kama lengo au shabaha ya mwandishi wa kazi ya fasihi.
Mwandishi wa tamthilia ya Bembea ya Maisha anadhamiria:
|
|
|
|
|
|
Mbinu za Lugha Katika Bembea ya Maisha | Mbinu za kishairi Katika Bembea ya Maisha | Mbinu za Kimuundo Katika Bembea ya Maisha | |
|
|
|
|
Haya ni baadhi tu ya maswali ya Bembea ya Maisha ambayo unaweza kupata majibu yake
Mwongozo huu unatoa uchambuzi kamili wa riwaya ya Bembea ya Maisha ambayo hakika itawasaidia wanafunzi kupata alama nzuri linapokuja suala la maswali ya mitihani inayohusu riwaya hiyo.
Zaidi ya hayo, mwongozo unatoa maswali na majibu kuhusu vipengele vyote vya riwaya kama inavyoonyeshwa hapo juu na inaweza kupakuliwa katika muundo wa PDF kwenye tovuti yetu ya easyelimu.com na Programu ya Masomo ya EasyElimu (EasyElimu Study App).
Ipate sasa!
access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp