- Bainisha sauti mbili aina ya likwidi.
Likwidi/Vilainisho:- Hizi ni sauti ambazo hutamkwa wakati ala za sauti zinapokaribiana na kutatiza hewa kwa namna maalum. Hutamkwa huku hewa ikiendelea kupita. Wanaisimu wamebainisha aina mbili za likwidi, ambazo ni vitambaza na vimadende. - Andika upya sentensi ifuatayo ukitujmia -0- rejeshi tamati.
Debe ambalo humwaga maji lina tundu
Debe limwagalo maji lina tundu. - Unda nomino mbili kutokana na kitenzi ‘dhalimu’
mdhalimu, udhalimu - Neno ‘kiongozi’ ni mofimu aina gani?
Mofimu huru Ainisha yambwa katika sentensi :
babake - yambwa tendewa
simu - yambwa- Huku ukitoa mfano, eleza maana ya sentensi tatanishi.
Sentensi tatanishi ni sentensi pandikizi, yaani ambazo zinabebana kupitia matumizi ya kuwa na kwamba.
Maria na Juma walipoona kuwa baba yao amewasili, walikimbia kuenda kumlaki.
- Tunga sentensi ukitumia kiwakilishi cha jumla katika ngeli ya KI-VI.
Vyote vilivyoraruka vimechomwa. Ainisha virai katika sentensi ifuatayo.
Amefundushwa kupika vizuri na mamake.
Amefundishwa kupika - Kirai kivumishi
vizuri - kirai kielezi
na mamake - kirai nomino- Iweke nomino ‘pua’ katika ngeli yake.
LI-YA - Nini maana ya nomino dhahania.
Ni nomino ambazo hazionekani haziwezi kushikika k.v huzuni Taja na ueleze aina ya kielezi kilichotumika katika sentensi. (ala2)
Wanafunzi waadilifu washauriwa watembee makundimakundi.
makundimakundi: kielezi cha idadiAndika kinyume cha sentensi hii. (ala2)
Kijakazi alihuzunika mtoto alipopotea.
Mtwana alifurahi mzee alipopatikanaAndika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa.
“Mzee, gari la moshi huondoka hapa saa ngapi?’’ Mgeni aliuliza
Mgeni alikata kujua wakati ambao gari la moshi huondoka kutoka kwa mzee.- Isimu Jamii
Toa ushahidi kuwa Kiswahili ni lahaja ya Kibantu.
Majibu yake:
http://goo.gl/M4ApX7
Please download this document as PDF to read all it's contents.
Why PDF Download?
- You will have the content in your phone/computer to read anytime.
- Study when offline.(No internet/data bundles needed.)
- Easily print the notes to hard copy.
Either
Click here to download the pdf version of "Kiswahili Maswali na majibu kutoka kwa Mocks", and read the full contents of this pageOR
OR
