Print this page

Kenya Certificate Of Secondary Education(KCSE 2013) Kiswahili Karatasi ya Kwanza

Rate this item
(9 votes)
Download PDF for future reference Install our android app for easier access

Kiswahili Paper 1 (102/1)

1. Lazima:
Wewe ni meneja katika kampuni ya Jitihada ambapo pamekuwa na visa nya ukiukaji wa maadili ya kikazi. Waandikie wafanyakazi memo kuwaonya dhidi ya jambo hili.

2. "Rununu(simutamba) imeleta athari mbaya katika jamii." Jadili.

3. Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

4. Tunga kisa kinachoanza kwa maneno yafuatayo:

Moyo wangu ulidunda kwa matarajio makuu...

 

Read 2203 times Last modified on Thursday, 18 October 2018 17:29
Print PDF for future reference Join our whatsapp group for latest updates