MAAGIZO
- Andika Insha mbili, insha ya kwanza ni ya lazima.
- Chagua Insha ya pili kutoka tatu zilizobakia.
- Kila Insha isipungue maneno 400.
- Kila Insha ina alama 20.
- Lazima
Serikali ya gatuzi lako limetangaza nafasi ya kuajiri mhandisi wa barabara. Tuma ombi lako la kutaka nafasi hii na uambatanishe wasifu kazi yako. - Kukithiri kwa utovu wa usalama nchini kumesababishwa na serikali. Jadili.
- Fahali wawili wapiganapo ziumiazo ni nyasi. Jadili.
- Malizia kwa
…………………………………………….nilipofika ilibainika kuwa nilihadaiwa.
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2019 KCSE Prediction Questions Set 2.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students