KISWAHILI KARATASI YA 2 Marking Scheme - 2019 KCSE Prediction Answers Set 2

Share via Whatsapp

UFAHAMU

  1.  
    • Uhayawani wa kuua wanyama wa pori ukomeshwe.
    • Mauji ya wanyama pori yakomeshwe.
    • Neno komesha lihusishwe. 1 x 1 = 1
  2.  
    • Walikuwa wanajali na kuwalinda wanyama.
    • Kulikuwa na utangamano. 1 x 2 = 2
  3.  
    • Ubinafsi wa binadamu. al 2
  4.  
    • Kutepetea na kutojali.
    • Kutotengeneza ua. 2 x 1 = 2
  5.  
    • Wanauawa kwa sababu ya pembe zao
    • Kwa dhana kuwa zinatibu magonjwa.     1 x 2 = 2
  6.  
    • Huwavutia watalii.
    • Nchi imepata tuzo za ulinzi wa wamazingira.
    • Tamaduni za kikale za jamii zimeendelea kudumu. 2 x 1 = 2
  7.  
    • Jamii zielimishwe kutangamana na wanyama.
    • Kurejelea maisha ya kizamani.   1 x 2 = 2
  1.  
    1. Kujitia hamnazo - Kutojali, kutojishughulisha.
    2. Kutangamana - Kuishi kwa amani.   2 x 1 = 2

UFUPISHO

  1. Umuhimu wa biashara za kimataifa
    • Ukuaji wa uchumi
    • Kupata bidhaa kutoka nchi nyingine
    • Masoko kwa bidhaa yake
    • Huduma za kitaluuma
    • Hukuza ushirikiano wamataifa
    • Hukuza ushindani
    • Ushirikiano wa kisiasa 7×1=7+1utiririko =08
  2. Ujumbe wa aya tatu za mwisho 
    • Masoko huru yanayoleta ushindani wa wafanyi biashara wadogo
    • Biashara hufungwa
    • Uchela waji,wa bidhaa zilizoagizwa
    • Bidhaa duni huweza kupenyezwa
    • Ulanguzi wa dawa za kulevya  6×1=6+1utiririko =07


MAJIBU YA SWALI LA TATU

Matumizi ya lugha (al. 40)

  1. Kitamkwa cha ufizi , sauti ya nazali . (al.1)
  2. Si-ku-m-karib-ish-a (al. 3)
    Si         -           Kanushi
    Ku       -           wakati uliopita kanushi
    M         -           Kitendwa
    Karib   -           Mzizi
    ish        -           Kauli/hali
    A         -           Kiishio
  3. Mama alimwita Maria mara mbili kwa kumwambia aende hapo alipokuwa na kumweleza kuwa siku ambayo ingefuata angenda Nairobi siku ambayo hiyo Kisumu na saa hiyo alikuwa akienda sokoni.                                                 (al.4)
  4. Walimu wetu         –          KN         (1mk)
    Mara kwa mara      -          KE          (1mk)
  5. Kutufanya tulie
    Kutufanya tutulie      (al. 2)
  6. KN -           Kundi (N) au Kiwakilishi (W)
    KT       -           Kundi T.
    Ina maana kamili ya kisarufi.       (al. 2)
  7. Niliyemsaidia -           Nafsi ya kwanza
    Ni                                -           Kitenzi kishirikishi kipungufu
    Simameni                    -           Wingi amrishi
    Uwanjani                     -           Kielezi cha mahali    (al.2)
  8. Nitaenda mpaka hapo kisha niwahudumie mpaka kesho. (al.2)
  9. Mawingu    -           li-ya
    Cheki         -           i-zi               (al.1)
  10. Peka (al. 1)
    Pokelewa      (al. 1)
  11. Hakuna zile tunazotaka . (al.2
  12. Kamau alimjengea baba(kitondo) yake nyumba (kipozi) kwa Matofali(ala)  (al. 2)
  13. Mizigo hiyo itawekwa kwenye makasha na kupakuliwa taratibu. (al. 2)
  14. Nyweni (al. 1)
  15. Kiwakilishi nafsi huru huwakilisha nomino kikiwa peke yake kama neno bila kutegemea viambishi ilhali kiwakilishi nafsi tegemezi huwakilisha nomino na lazima kambatanishwe na viambishi vya maneno mengine kuleta maana kamili ya kisarufi .             (al.2)
    Yeye                -           Kiwakilishi nafsi huru
    Ninacheza       -           Kiwakilishi nafsi tegemezi     
  16.  
    S -           KN+ KT          KT       -           T+E     (al. 4)  
    KN     -           N + S             T      -           Amekamatwa
    N       -           Mwizi              E      -           Hatimaye
    S       -           Aliyetuibia jana                      
  17. Kishazi : ni kifungu kilicho na muundo wa KN (Kiima na KT(Kiarifu) na kiima ndani ya sentensi kuu( ni sentensi ndani ya sentensi ) (al. 1)
  18. Landa ni kufanana kwa kitu na kingine . Randa ni kuonyesha au kulainisha vitu vya mbao.                                                                                                 (al. 2)
  19. Fundi ndiye(t) yule na ndiye(Ts) atamjengea (T) (al. 3)

MAJIBU SWALI LA NNE

ISIMU JAMII

  1. Sifa 4 za sajili ya siasa. (al. 4)
    • Ushawishi -           Tafadhali , ninaomba wananchi watukufu , nawategemea.
    • Ahadi za uongo - Mkinichagua hakuna umaskini tena.
    • Ulumbi - Kuongezea nyimbo na semi-mapambano x2 kitendawili.
    • Lugha inayohusisha hadhira au wasikilizaji kupiga makofi na vigelegele .
    • Lugha takriri urudiaji
    • Kuongea mengi
    • Majina ya lakabu
    • Kuchanganya na kuhamisha lugha. Zozote 4x1= al. 4) Lazima atoe mifano ili apate alama.
  2. Lahaja ni kijilugha ndani ya lugha kuu lafudhi ni jinsi mbalimbali binadamu hutamka hudhiririsha athari kubwa zinazotokana na lugha kwanza . (al. 2)
    1. Kuchapisha vitabu zaidi vya Kiswahili.
    2. Kiswahili kuwa somo la lazima vyuoni na shuleni.
    3. Wananchi kuenzi Kiswahili.
    4. Urasmishaji wa lugha ya Kiswahili
    5. Afrika ya mashariki
    6. Uundaji istilahi mpya za lugha.
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI KARATASI YA 2 Marking Scheme - 2019 KCSE Prediction Answers Set 2.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest