- Swali la lazima
Nchini Kenya wanachi wamegawanyika katika misingi mbali mbali. Hali hii inatishia usalama na umoja wa kitaifa. Kama mtaalamu na katibu wa shirika lisilo la kiserikali la Kenya Moja, mwandikie rais barua ukipendekeza mikakati ya kuimarisha na kudumisha umoja wa kitaifa - Utandawazi unaathari nyingi mbaya kuliko nzuri katika maisha yetu. Jadili
- Siku ya nyani kufa, miti yote huteleza
- Andika insha ikayamalizikia kwa
Tokea siku hiyo, maisha yangu yakachukua mkondo mpya
Download KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2019 KCSE Prediction Maswali Set 1.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students
Join our whatsapp group for latest updates