Print this page

KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2019 KCSE Prediction Maswali Set 1

Share via Whatsapp
  1. Swali la lazima
    Nchini Kenya wanachi wamegawanyika katika misingi mbali mbali. Hali hii inatishia usalama na umoja wa kitaifa. Kama mtaalamu na katibu wa shirika lisilo la kiserikali la Kenya Moja, mwandikie rais barua ukipendekeza mikakati ya kuimarisha na kudumisha umoja wa kitaifa
  2. Utandawazi unaathari nyingi mbaya kuliko nzuri katika maisha yetu. Jadili
  3. Siku ya nyani kufa, miti yote huteleza
  4. Andika insha ikayamalizikia kwa
    Tokea siku hiyo, maisha yangu yakachukua mkondo mpya
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2019 KCSE Prediction Maswali Set 1.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Read 10399 times Last modified on Tuesday, 21 May 2019 07:35

Related items

Get on WhatsApp Download as PDF