MAAGIZO
- Karatasi hii ina maswali manne.
- Jibu maswali mawili pekee
- Swali la kwanza ni la lazima.
- Chagua swali moja kwa yale matatu yaliyobaki.
- Kila insha isipungue maneno 400.
- Kila insha ina alama 20.
- Ndugu yako ameamua kuasi ukapera. Andika ratiba itakayotumiwa siku ya arusi yake.
- Eleza mikakati ambayo serikali ya Kenya imeweka kukabiliana na mashambulizi ya mara kwa mara ya Kigaidi nchini.
- Andika insha kuonyesha busara iliyomo katika methali “Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe”.
- Andika insha itakayomalizika kwa maneno haya:
……………Nilikumbuka ushauri niliopewa na mama mazazi mara kwa mara. Uchungu usiomithilika ulinichoma moyoni, laiti ningalijua.
MARKING SCHEME
- INSHA
- Mwanafunzi azingatie muundo wa ratiba
- Anwani/mada
- Saa
- Tukio/shughuli
TANBIHI
- Shughuli zifafanuliwe vizuri
- Matukio yafuatane vilivyo
-
- Mikakati iliyowekwa na serikali kukabiliana na Magaidi nchini:
- Kuhamasishana kuwataka raia wawe macho.
- Kuanzisha mpango wa nyumba kumi-kila mtu amfahamu jirani yake.
- Kuweka kamera za siri /CCTV katika maeneo muhimu.
- Kuimarisha ukaguzi na ulinzi mipakani
- Kukabiliana na makundi haramu kama vile al-Shabaab – huko Somalia.
- Mtahiniwa atunge kisa kinachoashiria kujuta kwa ajili ya kukosa kutilia maanani nasaha/wosia/mawaidha.
- Kisa kioanena maneno aliyopewa, la sivyoatuzwe BKO.
- Lazima mtahiniwa amalize insha kwa maneno aliyopewa, la sivyo apewe
- Asipojihusisha amejitungia swali, kwahivyo apewe
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download KISWAHILI PAPER 1 - 2019 KCSE TAP TRIAL MOCK EXAMS (QUESTIONS AND ANSWERS).
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students