- Insha ya lazima
Andika tahariri kwa gazeti la raia ukielezea hatua zinazochukuliwa nchini ili kumwendeleza kielimu Mtoto msichana. - Ufisadi ndicho kikwazo kikuu katika maendeleo ya uchumi wa taifa lolote. Thibitisha
- Matikiti na matango ndiyo maponya njaa.
- Andika insha itakayomalizikia kwa;
........aha! kumbe mwungwana akivulianguo huchutama. Sitaisahau siku hiyo kwani sijawahi kufedheheka maishani kama nilivyoaibika.
MARKING SCHEME
- Swali la kwanza
Tahariri kwa gazeti la raia- sura
-iwe na kichwa
Iwe na tarehe
Iwe na utangulizi
Iwena mwili/maelezokiaya
Yaweza kuwa na maoni au msimamo wa mhariri au msimamo wa gazeti
Iwe na hitimisho k.mjinala mhariri na wadhifa wake - MAUDHUI; kuendeleza msichana kielimu
-kupiga vita ndoa za mapema
-kupigamarufukuajira ya watoto
-wasichana wapewe nafasi ya kuendelezana masomo ya baada kujifungua
-alama za kujiungana vyuo vikuukupunguzwe kwa wasichana
-elimu bila malipo kwa watoto wa shule za msingi na za upili
-kutoa msaada wa karo kwa familia maskini
-kujenga shule zaidi za wasichana
-mashirika yasiyo ya kiserikali kujenga shule na vyuo
-kuhamasisha wazazi kuhusu umuhimu wa elimu ya mtoto msichana
-adhabu kali kwawabakaji
- sura
- Swali la pili
- ufisadi kama kikwazo
-hii ni insha ya hoja
-hoja ziungemkono kauli hii
-mtahiniwa akubali anena kauli hii
-mtahiniwa ahusishe ufisadi unavyodumaza uchumi wa nchi - hoja
-watu kupewa kazi wasizoweza
-wanaostahili kazi hawapati
-Biasharaharamuhuwapunja raia
-Wawekezajihuvunjwa moyo
-Miradi ya maendeleo kukwama /kutomalizwa
-Baadhi ya maeneo ya nchi kupuuzwa kimaendeleo
-Nchi kukosa misaada
-Taifa hutumia pesa nyingi kurekebisha ufisadi-Sifa za nchi kuharibika
-Uhalifu kuenea/kukosa usalama
- ufisadi kama kikwazo
- Swali la tatu
- methali;matikiti na matango ndiyo maponya njaa
Hii nimethali
Mtahiniwa atunge kisa/visa kuonyesha ukweli wamethali hii
Kisa kionyeshe sehemu mbili za methali- upuuzaji/kudunishakitu jambo au mtu
- kitu ,mtu au jambo hilo lijeliwe ni la manufaa Baadaye wakati wa shid
- msamiati wa methali
-matikiti na matango= aina ya vyakula visivyothaminiwa sana
-maponya=yanayookoa/yanayofaa
-njaa=shida - maana ya methali
vitu tunavyodunisha/tunavyo puuza huweza kuwa na msaada mkubwa wakati wa shida .kitu tulichonacho mkononi mwetu ndicho kinaweza kututoa taabuni wakati wa shida hivyo basi tusiidharau
- methali;matikiti na matango ndiyo maponya njaa
- swali la nne
- insha ya mdokezo
-hii ni insha ya mdokezo na mdokezo huu ni wa kumalizia
-mtahiniwa atunge kisa kinachomalizikakwa dondoo hili
-mtahiniwa ajihusishe katika kisa hiki
-Mtahiniwa atumie nafsi ya kwanza
-kisa kiwe na tendo/jambo bayakisiri
-Jambo hili linawekwa wazi
-Mhusika anakosa uso yaani anaaibika sana - methali; muungwana akivuliwa nguo huchutama
Maana; uovu wa mtu anayedhaminiwa ni mwema unapo fishuliwa yeye huaibika
- insha ya mdokezo
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download KISWAHILI PAPER 1 - KCSE 2019 MOCK EXAMINATION - KAKAMEGA.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students