MAAGIZO
- Karatasi hii ina maswali manne.
- Jibu maswali mawili pekee
- Swali la kwanza ni la lazima.
- Chagua swali moja kwa yale matatu yaliyobaki.
- Kila insha isipungue maneno 400.
- Kila insha ina alama 20.
- Ndugu yako ameamua kuasi ukapera. Andika ratiba itakayotumiwa siku ya arusi yake.
- Eleza mikakati ambayo serikali ya Kenya imeweka kukabiliana na mashambulizi ya mara kwa mara ya Kigaidi nchini.
- Andika insha kuonyesha busara iliyomo katika methali “Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe”.
- Andika insha itakayomalizika kwa maneno haya:
……………Nilikumbuka ushauri niliopewa na mama mazazi mara kwa mara. Uchungu usiomithilika ulinichoma moyoni, laiti ningalijua.

MARKING SCHEME
- INSHA
- Mwanafunziazingatiemuundowaratiba
- Anwani/mada
- Saa
- Tukio/shughuli
TANBIHI - Shughulizifafanuliwevizuri
- Matukioyafuatanevilivyo
-
- MikakatiiliyowekwanaserikalikukabiliananaMagaidinchini:
- Kuhamasishanakuwatakaraiawawe macho.
- Kuanzishampangowanyumbakumi-kilamtuamfahamujiraniyake.
- Kuwekakamerazasiri /CCTV katikamaeneomuhimu.
- Kuimarishaukaguzinaulinzimipakani
- Kukabiliananamakundiharamukamavileal-Shabaab – huko Somalia.
- Mtahiniwaatungekisakinachoashiriakujutakwaajiliyakukosakutiliamaananinasaha/wosia/mawaidha.
- Kisakioanenamanenoaliyopewa, la sivyoatuzwe BKO.
- Lazimamtahiniwaamalizeinshakwamanenoaliyopewa, la sivyoapeweBk 03
- Asipojihusishaamejitungiaswali, kwahivyo apewe Bk 03
Download KISWAHILI PAPER 1 - KAPSABET BOYS 2019 TRIAL MOCK EXAMINATION.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students
Join our whatsapp group for latest updates