Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Moi Kabarak High School Mock 2020/2021

Share via Whatsapp

MAAGIZO

  • Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
  • Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia.
  • Kila insha isipungue maneno 400
  • Kila insha ina alama 20 
  • Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili. 
  1. Wewe ni mhariri wa Gazeti la Mwangaza. Andika tahariri ukiangazia changamoto zinazoikumba sekta ya elimu nchini.
  2. Maradhi ya kuambukiza ni hatari si kwa afya ya taifa tu bali pia kwa iktisadi ya nchi. Ni suala ambalo serikali na wadau wengine wanafaa kulivalia njuga. Jadili.
  3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya methali ifuatayo; Mchumia juani hulia uvulini. 
  4. Andika insha itakayoanza kwa maneno haya;
    Nilishusha pumzi,nikashukuru Maulana. Masaibu yangu yalikuwa yamefika kikomo na mustakabali wangu ulikuwa angavu.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Moi Kabarak High School Mock 2020/2021.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest