Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Mang'u Mock 2020 Exam

Share via Whatsapp
Download PDF for future reference Get on Whatsapp for 50/-

KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
MUDA: SAA 2

Maagizo

  • Jibu maswali mawili.
  • Swali la kwanza ni la lazima.
  • Chagua swali la pili kwa yale matatu yaliyosalia iii.
  • Kila swali lina alama ishirini
  • Kila jibu lifikishe maneno mia nne
  1. Andika barua ya kuomba kazi ya udaktari katika hospitali ya Maji Mazuri. Barua yako ipitie kwa mkuu wa kituo cha utabibu katika chuo ulichosomea.
  2. Kama Gavana wa Kaunti yako kuna mengi ambayo unaweza kufanya ili kuinua kilimo katika kaunti yako. Thibitisha.
  3. Andika kisa kitakachomalizika hivi "Nilipoangalia umati uliohudhuria sherehe hii nilimshukuru Mungu".
  4. Andika kisa kitakachothibitisha ukweli wa methali kuwa, Mti mkuu ukigwa wana wa ndege huyumba.

Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Mang'u Mock 2020 Exam.


Tap Here to Download for 50/-

Join our whatsapp group for latest updates
Read 362 times Last modified on Friday, 24 September 2021 07:30
Print PDF for future reference