MAAGIZO
- Jibu maswali mawili.
- Swali la kwanza ni la lazima.
- Swali la pili lichaguliwe kutoka kwa maswali matatu yaliyobaki.
- Kila swali lina alama 20.
- Kila insha isipungue maneno 400
Swali | Alama | Alama za Mwanafunzi |
1 | 20 | |
2 | 20 | |
3 | 20 | |
4 | 20 | |
JUMLA | 40 |

MASWALI
- Wewe ni mwandishi wa habari. Umepata nafasi ya kumwalika Waziri wa Teknolojia studioni ili kuangazia kwa kina faida na hasara za teknolojia katika jamii. Andika dayolojia kati yenu.
- Matokeo mema ya mitihani hutegemea juhudi za walimu pekee. Jadili
- Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali, mchumia juani hulia kivulini.
- Tunga kisa kitakachoanza kwa maneno yafuatayo. Moyo wangu ulidunda kwa matarajio makuu...
Download Kiswahili Trial Exams Paper 1 Questions - Alliance Boys High School Mock December 2020.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students
Join our whatsapp group for latest updates