Kiswahili Paper 2 Questions and Answers - Lanjet Joint Mock Exams 2020

Share via Whatsapp

MAAGIZO:
Jibu maswali yote kwenye karatasi hii

  1. UFAHAMU[ALAMA 15]
    Soma habari ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.
    Uchumi wa mapato na matumizi ya watu katika nchi Fulani.uchumi huu huhusisaha sekta mbali mbali kama vile utalii,kilimo,sanaa,miongoni mwa sekta nyingine muhiumu.ukuaji wa kiuchumi hutegemea mambo kadhaa ili kuzaa matunda.katika nchi zote ulimwenguni,sera za kisisasa huamua jinsi uchumi utakavyokuwa na kunawiri.kama siasa hazitilii maanani sera za ukuaji wa kiuchumi,basi mapato ya nchi hiyo hugubikwa katika wingu kubwaa la uchochole.
    Nchini Kenya,kwa mfano,kuna ulinganifu mkubwa katika siasa na ukuaji wa kiuchumi.ukuaji wa kiuchumi hutegemea uteuzi wa maafisa wanaosimamia asasi muhimu sana katika usimamizi wa uchumi.asasi hizi ni kama vile wizara ya mipango ya kitaifa na ruwaza ya 2030,mamlaka ya ukusanyaji wa ushuru(KRA),benki kuu ya Kenya (CBK),na tume ya kupambana na ufisadi (KACC).usimamizi wa asasi hizi huwa mhimu sana katika kuamua hatima ya uchumi na nchi hii.
    Katika mwezi wa juni kila mwaka,waziri wa fedha husoma bajeti kwa wabunge.katika maelezo yake dhana iitwayo nakisi ya bajeti hujitokeza.kabla ya bajeti kuandaliwa,wizara ya mipango huandaa hati iitwayo usoroveya wa kiuchumi.baada ya usomwa bajeti,ni jukumu la wabunge kupitisha mswada wa kifedha unaohusisha wizara zote au kuutupilia mbali.jukumu hili linafaa kutekelezwa kufikia tarehe 31 oktoba ya kila mwka kulingana na sheria.
    Wakati huo afisa anayejulikana kama mhasibu mkuu wa serikalli na jukumu la kuchunguza na kutathimini matumizi ya fedha ya wizara mbalimbali na kutoa ripoti yake kwa kamati ya uhasibu wa umma bungeni(PAC).kamati hii hutoa mapendekezo yake kwa mkuu wa sheria na pia kwa tume ya kupambanma naufisadi ili haki iweze kutekelezwa mahakamani iwapo dosari za kifedha zimefanyika.
    Benki kuu ya Kenya kupitia kwa gavana wake huwa na jukumu la kutoa ushauri kwa serikali kuhusu usimamizi wa kifedha,kuchunguza nguvu za shilingi ya Kenya dhidi ya sarafu za kigeni,kutoa sarafu za Kenya kwa umma na usimamizi wa benki zote nchini miongoni mwa majukumu mengine.
    Kwa upande mwingine,mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini huwa na jukumu la kuhakikisha kuwa malengo ya ushuru yamefikiwa na pia kuhakikisha kuwa hakuna mtu binafsi au kampuni yoyote inayokwepa kulipa ushuru.iwapo kuna udanganyifu wowote,basi swala hili linafaa kuangaliwa na mahakama zetu na haki kutekelezwa.
    Ka jumla,sisi kama wananchi tunafaa kusaidia asasi hizi zote kufikia malengo yake ili tupate ukuaji wa kiuchumi utakaofaidi watu wote.jambo hili litahakikisha kuwa pengo lililo kati ya walalahai na walalahoi limezibwa.sisis kama wananchi,tunafaa kuonyesha uzalendo wetu kwa nchi yetu kwa kulipa ushuru inavyotakina,tukifuata mwito kuwa KULIPA USHURU NI KUJITEGEMEA.mwisho tusiadie viongozi wetu katika kuendeleza sera mwafakla za kiuchumi ili nchi yetu ipige hatua kubwa katika ukuaji wa kiuchumi.iwapo afisa yeyote atatuhumiwa kushiriki katika kashfa yoyote ya kuhujumu nidhamu ya kifedha,basi anafaa kukabiliwa vilivyo kisheria bila kujali hadhi yake ya kijamii au kisiasa.
    Maswali
    1. Ipe habari hii kichwa mwafaka (alm1)
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    2. Uchumi ni nini) (alama 1)
      -----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    3. Benki kuu ya Kenya ina majukumu yapi? (alama2)
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    4. Mhasibu mkuu ana dhima gani serikalini? (alama1)
      ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    5. Pendekeza hatua mbili za kufufua uchumi (alama 2)

    6. Ufisadi umehujumu vipi ukuaji wa kiuchumi? (alama 3
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    7. Eleza maneno yafuatayo kama kama yalivyotumika katika ufahamu
      1. Nakisi ya bajeti (alama 1)
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      2. Usoroveya wa kiuchumi (alama1)
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      3. Bajeti (alama 1)
        -----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      4. Hatima (alama 1)
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
        Walalahai na walalahoi (alama 1)
  2. UFUPISHO[ALAMA 15]
    Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali
    HAKI ZA MKENYA KIKATIBA
    Kumnyima mtu nafasi na kufanya mikutano popote ni kinyume cha sheria za Kenya hasa zinavyopatoikana katika katiba.kila mwnanch ana haki ya kutangamana na uhuru kuhudhuria mikutano yoyote.
    Ningetaka kurejelea baadhi ya haki hizi ili ziweze kueleweka na wakenya wengi.itauwa kwamba sheria ya haki za binadamu inamhakikishia mtu haki na uhuru bila khusisha kabila,makazi maoni ya kisiasa,imani ya sisa,rangi au jinsia yake(mke au mume).haki zinazolinda katiba ya Kenya ni nyingi.
    Katuiba ya Kenya inasema kuwa kila mtu ana haki kuwa hai na hakuna mtu anaeza kupoteza uhai wake makusudi,isipokuwa katika utekelezaji wa hukumu ya kifo iliyopitishwa na mahakma.
    Hata hivyo,kuuwa kwa mtu yeyote hakuchukuliwi kuwa uvunjaji wa haki za kimsingi ni:katika kujitetea au katika kutetea mali,au:wakati wa kutiwa nguvuni kisheria,kuzuiwa aliyezuiliwa kisheria kutoroka au katika kukomesha ghasia,maasai au mgomo,au:ili kuzuia mtu ana uhalifu,au:katika tukio la vitu vilivyotangzwa kisheria,hata mwizi sugu sugu analindwa na katiba na haki zake zote.
    Kitu cha kusikitisha ni kwamba wananchi wengi hawana imani na Mahakam zetu,na kwamba hujichukulia sheria mikononi pindi wanapokumbana na wezi.hapo ndipo hutokea kitendo cha hawa wananchi wenye hamasa na wezi huopigwa na kuuawa popo hapo.
    Uwezekano wa kumuuumiza mtu asiyekuwa na hatia ni wa kweli.aghalabu,raia wapiti njia huchukuliwa kama wezi n ahuweza kuumia bure bilashi.
    Haki nyingine inayolindwa na katiba ni haki ya uhuru wa mtu binafsi.hii ina maaana ya uhuru wa mtu kutofungwa jela au kutiwa kizuizini bila sababau yoyote.mtu anapokamatwa au kuzuiwa mujibu wa sheria,hapo mtu huyo ananyang’anywa haki hii.
    Kwa mujibu wa sheria,mtu hatatiwa nguvuni au kuzuiliwa isipokuwa:kupitia utekelezaji hu au amri ya utekelezaji wa hukumu au amri iliyotolewa kwake kwa mujibu wa amri ya mahakama kwa madhumuni ya kupelekwa jela ya mahakama au kisheria,au:kukiwa na tuhuma ya kutosha kwa ametenda au alikuwa karibu kutenda kosa la uhalifu.
    Kadhalika,mtu hukamatwa au kuzuiliwa akiwa mwenye umri wa miaka chini ya 18 kwa madhumuni kumpeleka shuleni,au:kwa madhumuni ya kuzuia usambazaji wa ugonjwa wa kuambukiza au kuml na kumtibu mtu ambaye ana sababu ya kutosha la uhalifu.
    Atashikwa pia akiwa ni mraibu wa dawa za kulevya au pombe,au mzururaji asiyekuwa mahali maaalumu pa kuishi au katika kumzuia kuingia Kenya kinyume cha sheria au katika kutekeleza amri ya kumfukuza,kumrudisha kwao ili afikishwe mahakamani au kumwondoa nchini Kenya.
    Mtu aliyetiwa nguvuni au kuzuiliwa lazima ajulishwe upesi iwezekanavyo sababu ya hatua hiyo.katiba inatoa uhakika wa kesi kuendeshwa haraka,haki ya kuwasiliana na mahakimu na haki ya dhamana.
    Kwa bahati mbay,tunajua hii huvunjwa panapotumika sheria zinazokandamiza.mara kwa mara tumesikia wananchi wengi hutiwa nguvuni na kuzuiliwa kwa muda mrefu bila kufikiswa mahakamani.
    Mbinu mojawapo itumikayo ni kuwahamisha washukiwa kutoka kitua kimoja ch apolisi hadi kingine.kitendo hiki ni kinyume kabisa na katiba.
    Isitoshe,tunajua polisi wameweza kuwafungia watu na kuwatesa kwa muda mrefu.mtu aliyeshikwa ili aletwe mahakamani au kwa sababu kuna tuhuma tosha ya kuwa ametenda au alikuwa karibu utenda kosa la uhalifu ni lazima afikishwe mahakamani upesi iwezekanavyo katika muda wa saa 24 tangu anaswe au katika muda wa siku 14 tangu atiwe nguvuni,endapo amekamatwa kutokana na tuhuma tosha ya kuwa ametenda au alikuwa karibu kutenda kosa la uharifu,uuuaji au wizi wa kutumia nguvu.
    Maswali.
    1. Eleza haki zinazorejelewa katika taarifa hii (maneno 25-35)
      (Alama 6+1mtiririko)
      Matayarisho
      --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------Jibu
    2. Eleza sababu zinazofanya haki ya mtu kukiukwa(maneno 50-55)
      (alama 7+1mtiririko)
      Matayarisho
      ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------Jibu
  3. MATUMIZI YA LUGHA [ALAMA 40]
    1. Bainisha mofimu katika neno lifuatalo (alama 2)
      Zisizosukika
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    2. Tambua aina za vitenzi katika sentensi hii kwa kuvipigia mstari (alama 2)
      Sisi tulikwisha kutambua alikuwa na nia mbaya yeye ndiye mwizi.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    3. Andika vinyume vya maneno yaliypigiwa mstari(alam 2)
      1. Alipofika nilimlaki
        ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      2. Aliponiona alitabasamu
        -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    4. Bainisha vishazi huru na vishazi vitegemezi katika sentensi ifuatayo.[alama 2]
      Hurafa ni hadithi zenye wahusika wanyama na visasili huhusu chanzo cha jambo Fulani.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    5. Bainisha virai katika sentensi (alama 1)
      Metobo alimtaka kulipa deni lote.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    6. Andika katika usemi wa taarifa.(alama 3)
      “Vileo havipaswi kupewa matangazo ya kuvutia,”akasema hatibu
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    7. unda nomino kutokana na vitenzi vifuatavyo(alama 1)
      1. punga
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      2. tunza
    8. Changanua sentensi ifuatayo kwa kielezo cha visanduku.[alama 3]
      Mwalimu aliyepanda mbegu amevuna mazao mengi.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    9. Tunga sentensi sahihi katika kauli ya kufanyia (al 2)
      1. -fa-
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      2. -cha-

    10. Andika kwa umoja.[alama2]
      Uovu waliotuonyesha hautasahaulika
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    11. Kanusha sentensi ifuatayo.[alama 2]
      Kuchora kwake kulitunufaisha
    12. Geuza sentensi ifuatayo ukitumia ‘O’ rejeshi katika hali ya mazoea.[alama2]
      Jino ambalo lilingolewa liliota tena.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    13. Andika wingi wa sentensi hii katika hali ya ukubwa.[alama 2]
    14. Kigoma chake kilipigwa hadi kikapasuka.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    15. Eleza matumizi ya kiungo –ki-katika sentensi ifuatayo(al 1)
      Lydia amekuwa akisoma vitabu hivi tangu asubuhi.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    16. Andika kisawe kimoja kwa neno ulilopewa(al 1)
      1. nikahi
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    17. Tunga methali moja kutokana na taarifa ifiuatayo:-[alama 2]
      Mtoto akidekezwa sana tabia yake itakua mbaya akiwa mtu mzima.
    18. Eleza maana mbili katika neno lifuatalo(al 1)
      Furuka
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    19. Unda majina mawili kutokana na vivumishi ulivyopewa(al 2)
      1. jahili
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      2. cheshi

    20. Akifisha kifungu hiki;-(ala 4)
      Mungu wangu ona umelitia doa shati langu jeupe metobo alifoka.
      ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    21. Tofautisha katika ya sentensi hizi.[alama 3]
      1. yambwa tendewa
        ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
      2. yambwa tendwa

ISIMU JAMII(ALAMA 10)

  1. Eleza maana ya usanifishaji wa lugha ya kiswahili(alama 2)
    ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
  2. Taja na ueleze matatizo yanayoikumba lugha ya Kiswahili(al 4)
    ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
  3. Tofautisha kati ya lugha ya kimataifa na lugha ya taifa. (alama 4)
    -----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

MWONGOZO WA KUSAHIHISHIA

  1. Ufahamu
    Soma habari ifuatayo
    Uchumi wa mapato na matumizi ya watu katika nchi Fulani.uchumi huu huhusisaha sekta mbali mbali kama vile utalii,kilimo,sanaa,miongoni mwa sekta nyingine muhiumu.ukuaji wa kiuchumi hutegemea mambo kadhaa ili kuzaa matunda.katika nchi zote ulimwenguni,sera za kisisasa huamua jinsi uchumi utakavyokuwa na kunawiri.kama siasa hazitilii maanani sera za ukuaji wa kiuchumi,basi mapato ya nchi hiyo hugubikwa katika wingu kubwaa la uchochole.
    Nchini Kenya,kwa mfano,kuna ulinganifu mkubwa katika siasa na ukuaji wa kiuchumi.ukuaji wa kiuchumi hutegemea uteuzi wa maafisa wanaosimamia asasi muhimu sana katika usimamizi wa uchumi.asasi hizi ni kama vile wizara ya mipango ya kitaifa na ruwaza ya 2030,mamlaka ya ukusanyaji wa ushuru(KRA),benki kuu ya Kenya (CBK),na tume ya kupambana na ufisadi (KACC).usimamizi wa asasi hizi huwa mhimu sana katika kuamua hatima ya uchumi na nchi hii.
    Katika mwezi wa juni kila mwaka,waziri wa fedha husoma bajeti kwa wabunge.katika maelezo yake dhana iitwayo nakisi ya bajeti hujitokeza.kabla ya bajeti kuandaliwa,wizara ya mipango huandaa hati iitwayo usoroveya wa kiuchumi.baada ya usomwa bajeti,ni jukumu la wabunge kupitisha mswada wa kifedha unaohusisha wizara zote au kuutupilia mbali.jukumu hili linafaa kutekelezwa kufikia tarehe 31 oktoba ya kila mwka kulingana na sheria.
    Wakati huo afisa anayejulikana kama mhasibu mkuu wa serikalli na jukumu la kuchunguza na kutathimini matumizi ya fedha ya wizara mbalimbali na kutoa ripoti yake kwa kamati ya uhasibu wa umma bungeni(PAC).kamati hii hutoa mapendekezo yake kwa mkuu wa sheria na pia kwa tume ya kupambanma naufisadi ili haki iweze kutekelezwa mahakamani iwapo dosari za kifedha zimefanyika.
    Benki kuu ya Kenya kupitia kwa gavana wake huwa na jukumu la kutoa ushauri kwa serikali kuhusu usimamizi wa kifedha,kuchunguza nguvu za shilingi ya Kenya dhidi ya sarafu za kigeni,kutoa sarafu za Kenya kwa umma na usimamizi wa benki zote nchini miongoni mwa majukumu mengine.
    Kwa upande mwingine,mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini huwa na jukumu la kuhakikisha kuwa malengo ya ushuru yamefikiwa na pia kuhakikisha kuwa hakuna mtu binafsi au kampuni yoyote inayokwepa kulipa ushuru.iwapo kuna udanganyifu wowote,basi swala hili linafaa kuangaliwa na mahakama zetu na haki kutekelezwa.
    Ka jumla,sisi kama wananchi tunafaa kusaidia asasi hizi zote kufikia malengo yake ili tupate ukuaji wa kiuchumi utakaofaidi watu wote.jambo hili litahakikisha kuwa pengo lililo kati ya walalahai na walalahoi limezibwa.sisis kama wananchi,tunafaa kuonyesha uzalendo wetu kwa nchi yetu kwa kulipa ushuru inavyotakina,tukifuata mwito kuwa KULIPA USHURU NI KUJITEGEMEA.mwisho tusiadie viongozi wetu katika kuendeleza sera mwafakla za kiuchumi ili nchi yetu ipige hatua kubwa katika ukuaji wa kiuchumi.iwapo afisa yeyote atatuhumiwa kushiriki katika kashfa yoyote ya kuhujumu nidhamu ya kifedha,basi anafaa kukabiliwa vilivyo kisheria bila kujali hadhi yake ya kijamii au kisiasa.

    Maswali
    1. Ipe habari hii kichwa mwafaka (alm1)
      • Mfumo wa uchumi nchini
    2. Uchumi ni nini) (alama 1)
      • Ni mfumo wa mapato na matumizi ya watu katika nchi Fulani
    3. Benki kuu ya Kenya ina majukumu yapi? (alama2)
      • Kutoa ushauri juu ya usimamizi wa fedha/kuchunguza nguvu ya shilingi ya Kenya/usimamizi wa benki zote.
    4. Mhasibu mkuu ana dhima gani serikalini? (alama1)
      • Kuchunguza na kutadhimini matumizi ya pesa katika wizara.
    5. Pendekeza hatua mbili za kufufua uchumi (alama 2)
      • Kukusanya ushuru.
      • Kuendeleza sara mwafaka.
    6. Ufisadi umehujumu vipi ukuaji wa kiuchumi? (alama 3)
      • Kutokua na maafisa waaminifu.
    7. Eleza maneno yafuatayo kama kama yalivyotumika katika ufahamu
      1. Nakisi ya bajeti (alama 1)
        • Upungufu wa fedha.
      2. Usoroveya wa kiuchumi (alama1)
        • Kusoroteka katika uchumi
      3. Bajeti (alama 1)
        • Makadirio ya matumizi ya pesa
      4. Hatima (alama 1)
        • mwisho
      5. Walalahai na walalahoi (alama 1)
        • Matajiri na maskini

          TAHADHARI
        • Ondoa nusu maki kwa kila kosa la sarufi litokeapo mara ya kwanza hadi makosa sita
        • ondoa nusu maki kwa kila kosa la hijai litokeapo mara ya kwanza hadimakosa sita
        • jumla ya makosa ya sarufi nay a tahajia yaondolewe baada ya kupitia maswali yote
  2. Ufupisho
    soma makala yafuatayo kisha ujibu
    HAKI ZA MKENYA KIKATIBA
    Kumnyima mtu nafasi na kufanya mikutano popote ni kinyume cha sheria za Kenya hasa zinavyopatoikana katika katiba.kila mwnanch ana haki ya kutangamana na uhuru kuhudhuria mikutano yoyote.
    Ningetaka kurejelea baadhi ya haki hizi ili ziweze kueleweka na wakenya wengi.itauwa kwamba sheria ya haki za binadamu inamhakikishia mtu haki na uhuru bila khusisha kabila,makazi maoni ya kisiasa,imani ya sisa,rangi au jinsia yake(mke au mume).haki zinazolinda katiba ya Kenya ni nyingi.
    Katuiba ya Kenya inasema kuwa kila mtu ana haki kuwa hai na hakuna mtu anaeza kupoteza uhai wake makusudi,isipokuwa katika utekelezaji wa hukumu ya kifo iliyopitishwa na mahakma.
    Hata hivyo,kuuwa kwa mtu yeyote hakuchukuliwi kuwa uvunjaji wa haki za kimsingi ni:katika kujitetea au katika kutetea mali,au:wakati wa kutiwa nguvuni kisheria,kuzuiwa aliyezuiliwa kisheria kutoroka au katika kukomesha ghasia,maasai au mgomo,au:ili kuzuia mtu ana uhalifu,au:katika tukio la vitu vilivyotangzwa kisheria,hata mwizi sugu sugu analindwa na katiba na haki zake zote.
    Kitu cha kusikitisha ni kwamba wananchi wengi hawana imani na Mahakam zetu,na kwamba hujichukulia sheria mikononi pindi wanapokumbana na wezi.hapo ndipo hutokea kitendo cha hawa wananchi wenye hamasa na wezi huopigwa na kuuawa popo hapo.
    Uwezekano wa kumuuumiza mtu asiyekuwa na hatia ni wa kweli.aghalabu,raia wapiti njia huchukuliwa kama wezi n ahuweza kuumia bure bilashi.
    Haki nyingine inayolindwa na katiba ni haki ya uhuru wa mtu binafsi.hii ina maaana ya uhuru wa mtu kutofungwa jela au kutiwa kizuizini bila sababau yoyote.mtu anapokamatwa au kuzuiwa mujibu wa sheria,hapo mtu huyo ananyang’anywa haki hii.
    Kwa mujibu wa sheria,mtu hatatiwa nguvuni au kuzuiliwa isipokuwa:kupitia utekelezaji hu au amri ya utekelezaji wa hukumu au amri iliyotolewa kwake kwa mujibu wa amri ya mahakama kwa madhumuni ya kupelekwa jela ya mahakama au kisheria,au:kukiwa na tuhuma ya kutosha kwa ametenda au alikuwa karibu kutenda kosa la uhalifu.
    Kadhalika,mtu hukamatwa au kuzuiliwa akiwa mwenye umri wa miaka chini ya 18 kwa madhumuni kumpeleka shuleni,au:kwa madhumuni ya kuzuia usambazaji wa ugonjwa wa kuambukiza au kuml na kumtibu mtu ambaye na asababu ya kutosha lauhalifu.
    Atashikwa pia akiwa ni mraibu wa dawa za kulevya au pombe,au mzururaji asiyekuwa mahali maaalumu pa kuishi au katika kumzuia kuingia Kenya kinyume cha sheria au katika kutekeleza amri ya kumfukuza,kumrudisha kwao ili afikishwwwe mahakamani au kumwondoa nchini Kenya.
    Mtu aliyetiwa nguvuni au kuzuiliwa lazimna ajulishwe upesi iwezekanavyo sababu ya hatua hiyo.katiba inatoa uhakika wa kesi kuendeshwa haraka,haki ya kuwasiliana na mahakimu na haki ya dhamana.
    Kwa bahati mbay,tunajua hii huvunjwa panapotumika sheria zinazokandamiza.mara kwa mara tumesikia wananchi wengi hutiwa nguvuni na kuzuiliwa kwa muda mrefu bila kufikiswa mahakamani.
    Mbinu mojawapo itumikayo ni kuwahamisha washukiwa kutoka kitua kimoja ch apolisi hadi kingine.kitendo hiki ni kinyume kabisa na katiba.
    Isitoshe,tunajua polisi wameweza kuwafungia watu na kuwatesa kwa muda mrefu.mtu aliyeshikwa ili aletwe mahakamani au kwa sababu kuna tuhuma tosha ya kuwa ametenda au alikuwa karibu utenda kosa la uhalifu ni lazima afikishwe mahakamani upesi iwezekanavyo katika muda wa saa 24 tangu anaswe au katika muda wa siku 14 tangu atiwe nguvuni,endapo amekamatwa kutokana na tuhuma tosha ya kuwa ametenda au alikuwa karibu kutenda kosa la uharifu,uuuaji au wizi wa kutumia nguvu.

    Maswali.
    1. Eleza haki zinazorejelewa katika taarifa hii (maneno 25-35)
      (Alama 6+1mtiririko)
      matayarisho
      • Kufanya mikutano popote
      • Kutangamana/kuhudhina mikutano
      • Kuwa hai
      • Mtu binafsi/kutofungwa jela/kutiwa kizuizini bila sababu.
      • Anayetiwa kizuizini aambiwe sababu.
      • Kesi iendeshwe haraka.
      • Haki ya kuwasiliana na mahakama.
      • Haki ya dhamana.
        Jibu
    2. Eleza sababu zinazofanya haki ya mtu kukiukwa(maneno 50-55)
      (alama 7+1mtiririko)
      Matayarisho
      • Akiwa chini ya miaka 18 anweza kukamatwa na kupelekwa shuleni
      • Kumlinda na kumtibu mtu ambaye kuna sababu ya kutosha kushukiwa kwamba hana akili timamu
      • Kumzuia kuingia Kenya kinyume cha sheria au kutekelezwa zmri ya kumfukuza.
      • Utekelezaji wa hukumu ya kifo iliyofishwa na mahakama
      • Kuwa mtu katika kujitetea/ kutetea mali.
      • Kuzuia mtu kutoroka akiwa amezuiwa kisheria.
      • Mtu anapokamatwa au kuzuiliwa kwa mujibu wa sheria.
        Jibu

TAHADHANI UFUPISHO

  • Ondoa nusu makii kwa kila kosa la sauti litokeapo mara ya kwanza hadi makosa 12.
  • Ondoa nusu maki kwa kila kosa la tahajia litokeapo mara ya kwanza hadi makosa 6.
  • Maneno yakizidi kwa 5 (odoa nusu maki) ; 10 ondoa maki
  • Makosa yatolewe baada ya kujumulisha maki zote

    SARUFI
    1. Bainisha mofimu katika neno lifuatalo (alama 2)
      Zi-ngeliu
      Si- kikanushi
      Zo- kirejeshi
      Suk- mzizi/shina la kitenzi
      Ik- kauli
      a - kiishio
    2. Tambua aina za vitenzi katika sentensi hii kwa kuvioigia mistari (alama 2)
      Sisi tulikwisha kutambua alikua na nia mbaya yeye ndiye mwizi.
      • Tukikwisha –saidizi
        Kutambua- kikuu
        Alikuwa- saidizi
        Ndiye- kishikishi kipungufu
    3. Andika vinyume vya maneno yaliypigiwa mstari(alam 2)
      1. Alipofika nilimlaki
        Jibu;alipoondoka,nilimwaga
      2. Aliponiona alitabasamu
        Jibu;aliponiona alinuna
    4. Bainisha vishazi huru na vishazi vitegemezi katika sentensi ifuatayo.
      Hurafa ni hadithi zenye wahusika wanyama na visasili huhgusu chanzo cha jambo Fulani.
      • Hurafa ni hadithi zenye wahusika wanyama- kishazi huru
      • Visasili huhusu chanzo cha jambo Fulani- kishazi huru
    5. Bainisha virai katika sentensi (alama 1)
      Metobo alimtaka kulipa deni lote.
      Jibu
      • Metobo- kirai nomino
      • Deni lote- kirai nomino
    6. Andika katika usemi wa taarifa.(alama 3)
      “Vileo havipaswa kupewa matangazo ya kuvutia,”akasema hatibu
      • Hatibu alisema kwamba vileo havikupasa kupewa matangazo ya kuvutia
    7. unda nomino kutokana na vitenzi vifuatavyo(alm 1)
      1. punga
        • punga, mpungwaji
      2. tunza
        • tunzo, mtunzaji, utunziji
    8. Changanua sentensi ifutayo kwa kielezo cha jedwali/visanduku.
      Mwalimu aliyepanda mbegu amevuna mazao mengi.
      Jibu
      S    
      KN   KT
       N S T KN
            V
      mkulima Aliyepanda mbegu amevuna mazao mengi
    9. Tunga sentensi sahihi katika kauli ya kufanyiza (al 2)
      1. -fa-
        • Fia- mwalimu ahakiki jibu la mwanafunzi
      2. -cha-
        • Chea –mwalimu ahakiki jibu la mwanafunzi
          Tanbihi: bila sentensi mwanafunzi asipate alama.
    10. Andika kwa umoja
      Uovu waliotuonyesha hautasaulika
      • Uovu alionionyesha hautasahaulika
    11. Kanusha sentensi ifuatayo.
      Kuchora kwake kulitunufaisha(al 2)
      • Kuchora kwake hakukutunufaisha
    12. Geuza sentensi ifuatayo ukitumia ‘O’ rejeshi ya mazoea.
      Jino lililongolewa liliota tena.
      • Jino ling’olewalo huota tena
      • Jino linalong’olewa huota tena
    13. Andika wingi wa sentesi hii katika hali ya ukubwa
      • Magoma yao yalipigwa hadi yakapasuka
    14. Eleza matumizi ya kiungo –ki-katika sentensi ifuatayo(al 1)
      Mwalimu amekua akisoma vitabu hivi tangu asubuhi.
      • Kitendo kimekuwa kikiendelea kwa muda Fulani.
    15. Andika kisawe kimoja kwa neno uilopewa(al 1)
      1. Nikahi
        • Ndoa/harusi/akidi
    16. Tunga methali moja kutokana na taarifa ifiuatayo:-
      Mtoto akidekezwa sana tabia yake itakua mbaya akiwa mtu mzima.
      • Mtoto umleavyo ndivyo akuwavyo.
      • Mwacha mwana kulia hulia yeye mwenyewe.
      • Usipo ziba ufa utaziba ukuta
    17. Eleza maana mbili mbili katika neno lifuatalo(al 1)
      Furuka
      • Kuwa mkubwa; kua
      • Kuwa na furaha; changamka
    18. Unda majina mawili kutokana na vivumishi ulivyopewa(al 2)
      1. jahili
        • Ujahili, majakili
      2. cheshi
        • Ucheshi, mcheshi
    19. Akifisha kifungu hiki;-(ala 4)
      Mungu wangu ona umelitia doa shati langu jeupe metobo alifoka.
      • “mungu wangu! Ona umelitia doa sharti langu jeupe.” Metoko alifoka
    20. Tofautisha katika sentensi
      1. yambwa tendewa
        • Shangazi alimnunulia mtoto gari.
      2. yambwa tendwa
        • Shangazi alimnunulia mtoto gari

TAHADHARI

  • Ondoa makosa ya sarufi [s] nay a tahajia [h] kama yatokeapo
  • Ondoa nusu maki kwa kila kosa litokeapo mara ya kwanza liwe la sarufi ama la tahajia
  • Usiondoe zaidi ya nusu alama zilizotolewa kwa kila swali

    ISIMU JAMII(ALAMA 10)
    1. eleza maana ya usanifishaji wa lugha ya kiswahili(alama 2)
      • ni uamuzi wa kuchagua lugha moja au mojawapo wa lahaja za lugha na kuifanyia marekebisho ya kimatamshi, kisarufi, kimaana, kimaandishi ili iweze kutumika katika shughuli rasmi
      • kusanifisha ni utaratibu wa kuondoa tofauti zote za lugha ambazo hutokana na kimaeneo na tabaka.
    2. taja na ueleze matatizo yanayoikumba lugha ya Kiswahili(al 4)
      • kuwapo na wananchi wengi wanaolonea fahari lugha ya kiingereza kuliko ya Kiswahili.
      • Kasumba kuwa lugha ya Kiswahili ni ya watu ambao hawajaelimika.
      • Vipindi zaidi kutoka redio na runinga hupeperushwa kwa kingereza kuliko kwa lugha ya Kiswahili.
      • Lugha za kikabila kushamili zaidi kimatumizi kuliko Kiswahili miongoni mwa jamii mbalimbali.
      • Kuzuka na kuenea kwa sheng mionggoni mwa vijana kunakunakwadhini usanifu na ueneaji wa Kiswahili.
      • Magazeti na majarida mengine yanayochapishwa ni ya kiingereza.
      • Hakuna sera maalum na imara kuhusu matumizi ya Kiswahili.
      • Uhaba wa utafiti wa Kiswahili.
      • Wanasiasa wengi kutopigia upatu ukuzaji na utumizi wa lugha ya Kiswahili.
      • Upungufu wa wataalamna imara kuhusu matumizi ya Kiswahili kama vile walimu.
      • Wengi wa wanafunzi hujikita tu katika kufundisha yale ya mitalaa badala ya kupanua mawanda ya wanafunzi.
    3. Tofautisha kati ya lugha ya kimataifa na lugha ya taifa. (alama 4)
      • Lugha ya kimataifa inaweza kutumika katika mawasiliano nje ya mipaka ya nchi husika kwa masuala ya kisiasa, kidiplomasia, kibiashara na kitamaduni.
      • Lugha ya taifa ni lugha iliyoteuliwa kama kitambulisho na ustaarabu wa taifa zima.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 2 Questions and Answers - Lanjet Joint Mock Exams 2020.

Tap Here to Download for 50/-

Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students

Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest