Kiswahili Paper 1 Questions - Maranda Mocks 2021/2022 Exams

Share via Whatsapp

KISWAHILI (INSHA)
KARATASI YA 1

MAAGIZO

 

 • Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
 • Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia.
 • Kila insha isipungue maneno 400.
 • Kila insha ina alama 20.
 • Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.


Maswali

 1. Insha ya lazima
  Umetembelewa shuleni mwenu na mwandishi wa habari kutoka Gazeti la Wajibika kukuhoji jinsi Shule yenu ya Raslimali inavyohifadhi mazingira. Andika mahojiano yenu.
 2. Jamii ina mchango mkubwa katika kuimarisha maadili miongoni mwa vijana. Jadili.
 3. Tunga insha inayobainisha maana ya methali:
  Ngoma ikilia sana, hupasuka kiwambo.
 4. Tunga kisa kitakachoishia kwa maneno yafuatayo:
  .... Nilishusha pumzi. Nikashukuru. Masaibu yangu yalikuwa yamefika kikomo, maisha ya siku zijazo yalijaa matumaini.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions - Maranda Mocks 2021/2022 Exams.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest