QUESTIONS
- Lazima
Wewe ni katibu wa chama cha wafanyibiashara nchini. Mumekuwa na mkutano kuhusu
kudorora kwa uchumi na namna ya kuimarisha uchumi. Andika kumbukumbu za mkutano
huo. - Jadili namna siasa inavyoathiri maendeleo ya nchi.
- Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya methali;
Kufa kwa mdomo mate hutawanyika. - Tunga kisa kitakachoanza kwa kauli;
“Nilikumbuka maneno ya nina michiririzi ya machozi ikaanza kunitiririka…
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Kiswahili Paper 1 Questions - Maseno Mock Examinations 2022.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students