Kiswahili Paper 1 Questions - Kassu Jet Joint Mock Exams 2023

Share via Whatsapp

MAAGIZO

  • Kila insha isipungue maneno 400.
  •  Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.


MASWALI

  1. Wewe ni katibu wa mmojawapo wa watu wanaowania nafasi ya uwaziri katika Wizara ya Elimu nchini.Andaa wasifu utakaowasilishwa katika kikao cha usaili.
  2. Mahusiano kati ya Afrika na mataifa ya kigeni yana faida nyingi. Jadili
  3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya methali ifuatayo: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
  4. Andika insha inayoanza kwa maneno haya:
    Sherehe zilinoga kwa shamrashamra kwani tulikuwa tumefua dafu kutokana na ushirikiano wetu...

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions - Kassu Jet Joint Mock Exams 2023.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?