- Lazima
Visa vya utumizi wa afyuni miongoni mwa wanafunzi katika taasisi za masomo ulimwenguni vinazidi kuongezeka. Wewe kama afisa mkuu mtendaji katika Tume ya kupambana na Mihadarati nchini umealikwa kuhutubu katika kongamano la Kimataifa lililoandaliwa kujadili suala hili. Andika hotuba. - ‘ Haki za mtoto kupata kisomo cha kimsingi zinakiukwa sana nchini’. Fafanua
- Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Jifya moja haliinjiki chungu.
- Tunga kisa kitakachomalizika kwa maneno yafuatayo;
…Nilishawishika kuuchukua mtazamo wa pili wa maisha.
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download KISWAHILI PAPER 1 - KCSE 2019 MOKASA PRE MOCK EXAMINATION.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students