Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Chogoria Murugi Zone Pre Mock Exams 2023

Share via Whatsapp

MAAGIZO

  • Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
  • Kisha chagua insha nyingine moja kato ya hizo tatu zilizobaki.
  • Kila insha isipungue maneno 400
  • Kila insha ina alama 20.
  • Kila insha lazima ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
  1. Umealikwa kama mlumbi katika kata ndogo ya Matopeni kuhutubia wakaazi kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira. Andika hotuba utakayoitoa.
  2. Ukosefu wa ajira nchini ndicho chanzo kikuu cha utovu wa maadili nchini. Thibitisha.
  3. Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi.
  4. Tunga kisa kitakachomalizika kwa
    …………………………………………………Baada ya kutafakari nilimshukuru Mola kwa kuniokoa.

MARKING SCHEME

  1. Swali la kwanza
    Ni swali la lazima
    Mwanafunzi anatarajiwa
    1. Aandike hotuba- sura ya hotuba ijitokeze.
      Mwanzo kuwe na maamkuzi, mwili na kisha hitimisho.
    2. Ajibu swali la umuhimu wa kuhifadhi mazingira kama vile.
      1. Hukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga.
      2. Kupata hewa safi.
      3. Kuwepo kwa makazi ya wanyama pori.
      4. Huvutia watalii.
      5. Kuepuka baadhi ya maradhi k.v malaria.
      6. Kuhifadhi chemichemi za maji.
      7. Baadhi ya miti/mimea hutumika kama dawa.
      8. Huinua uchumi wa taifa.
      9. Huremba makazi yetu.
  2. Mwanafunzi athibitishe madhara ya ukosefu wa ajira kwa maadili kama vile.
    1. Vijana kujishughulisha na ulevi wa vileo/mihadarati.
    2. Baadhi ya vijana kujiingiza kwenye ndoa za mapema.
    3. Mauaji.
    4. Wizi wa kimabavu.
    5. Biashara haramu k.m uuzaji wa binadamu.
    6. Ufisadi.
    7. Kuvunjika kwa ndoa
    8. Umaskini uliokidhiri hupelekea maovu.
    9. Vitendo haramu kama vile vya uhusiano wa ngono.
  3. Mwanafunzi katika kisa chake onyeshe jinsi mzigo wa mwenziwe sio mzito kama anavyohisi.
    m.f. Mwanafunzi amwone mwenziwe asiyekuwa na mzazi likiwa jambo rahisi na lisilokuwa na kero.
    Katika kisa pawe na sehemu ya mzigo wa mwenzio na sehemu ya kanda la usufi.
    Mwanafunzi akishughulikia sehemu moja asipite alama kumi.(10)
  4. Mwanafunzi atunge kisa ambacho kitaonyesha mhusika akiwa katika hali ya hatari k.v, ajali, njaa, mafuriko, moto.
    Aonyeshe jinsi alivyonusurika, kifo
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Chogoria Murugi Zone Pre Mock Exams 2023.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?