- UFAHAMU
- Pornographia/hatari za pornographia
-
- Kuimarika kwa vyombo vya teknonolojia ya habari na maasiliano.
- Makundi mbalimbali ya watu wanaobuni na kutengeneza kazi hii.
- Kutosheleza ashiki (zozote 2 x 1 = 2)
- Huwiga/huiga wanayoyaona na kuyasikia.
-
- Picha za matusi hudumishwa katika kumbukumbu zao
- Kuibuka ishara na lugha inayohusiana na ngano.
- Huandamana na maovu mengine.
- Huzifanya nishai na hisia za watu kuwa butu (zozote 4 x 1 = 4)
-
- Kuongeza ufahamu wa umma kuhusu uovu wapicha hizi
- Watu wazima huwajibika kuwalinda na kuwahimiza vijana wale wenye midahalishi kutowaruhusu vijana kutazama uchafu
- Sheria izuie utengenezaji wa uozo huo
- Kuchukua hataua kali dhidi ya wanaoivunja (zozote 4 x 1 = 4)
-
- Uchu- kutamanisana
- Wasijipweteke – washughulike/wamakinike
- Kula butu – kukosa hisia/pungukiwa na hisia
- MATUMIZI YA LUGHA
-
- Sauti ni kipashio cha kimsingi katika uundaji wa neno Au Ni mlio unaotokea kutokana na mgusano au kukaribiana kwa alama za kutamkia (1 x 1 = 1)
- Nazali
Hutamkiwa ufizini
Ghuna (1 x 2 = 2)
-
- Silabi wazi ni silabi ambayo huishia kwa vokali k.m ka-la-mu
- Silabi funge – silabi iishiayo kwa konsonanti k.m muk-ta-dha (1 x 2 = 2)
- Onyesha mofimu katika neno lifuatalo;
A - na - tu - pik - I - a
nafsi wakati kitendwa mzizi kauli kiishio (1/2 x 6 = 3) - Aina za nomino sentensini
Juma – nomino ya pekee
Mtoto- nomino ya kawaida
Maji – nomino ya wingi
Baraka - nomino ya dhahania (1 x 4 = 4) -
- Zile za kujengea hazijaletwa
- Mshale wake ulifungwa kwa unyowa weusi (2 x 2 = 4)
- Hali ya ukubwa wingi
- Majia haya yanafaa zaidi kuliko yote (1 x 2 = 2)
- Majia haya yanafaa zaidi kuliko yote (1 x 2 = 2)
- Kuyakinisha
- Nilisikia kuwa alichapwa na kuumizwa
- Angetoka mapema angemsaidi (2 x 2 = 4)
- Taja ngeli za nomino zifuatazo
- Maziwa –YA-YA
- Chai – I-I
- Kibyongo – A-WA (1 x 3 = 3)
- Maana ya sentensi (tofauti)
- bila kubakisha
- bila kubagua/kuchagua/kuteua
-
- Alasiri ya leo inapendeza – nomino
- Alimtembelea jana alasiri – kielezi (1 x 2 = 2)
- Fungu la maneno lenye maana Fulani lakini maana hiyo si kamili (1 x 2 = 2)
- Chakula chote kililiwa na wachezaji (1 x 2 = 2)
- Ng’ombe – nomino
Mweusi – kivumishi
Atachijwa – kitenzi
Leo- kielezi (1/2 x 4 = 2) - Ritifaa
- Kubainisha sauti ya nazali k.m ng’ombe
- Kuonyesha tarakimu ilioachwa ‘92
- Kuonyesha silabi ilioachwa ‘kate (1 x 2 =2)
-
- Ala tuli – ala za kutamkia ambazo hazisogei wakati wa kutamka sauti
- Ala sogezi – ala zinazosonga wakati wa kutamka sauti (2 x 2 = 4)
- Matumiziya ‘ni’
- Kielezi cha mahali mfano; shuleni
- Kitenzi kishirikishi kipungufu. Mfano; hiki ni kitabu (1 x 2 = 2)
-
- Magari yote hutiwa kithibiti mwendo
- Amechora na ametuzwa (1 x 2 =2)
- Methali
- Zimwi likujualo halikuli likakwisha
- Angeruka juu kipungu hafikilii mbingu (1 x 2 =2)
- Maana mbili
- Alipiga kwa niamba ya
- Alinirushia mpira
- Alinipiga kwa sababu ya mpira
- Alitumia mpira kunipiga (1 x 2 =2)
- Maana ya misemo
- Kuvalia miwani – kujifanya huoni, Kulewa
- kuzunguka mbuyu - kularushwa /hongo (2 x 2 = 4)
- Viambishi awali - viambishi ambavyo huangikwa kabla ya mzizi wa neno k.m alicheza, ali- kiambishiawal
Kiambishi tamati - viambishi vinavyojitokeza baada ya mzizi wa neno k.m tutachezewa - ew-a
-
- ISIMU JAMII
- Mawasiliano ya simu (2x 1 =2)
-
- Uchanganyi wa ndimi- kwani umelost
- Lugha isiyo sanifu-mos
- Sentensi fupi fupi- ukowapi?
- Matumizi ya takriri- haloohaloo!
- Hali ya kujibizana
- Kuna kuuliza maswali
- Matumizi ya muda mfupi kuepuka gharama
- Yahusisha pande mbili-anayepigana anayepigiwa (4 x 2 = 8)
- FASIHI SIMULIZI
- Sifa za ngano
- Huridhishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine
- Maneno au vifungu vingi hurudiwarudiwa
- Huwa na nyimbo
- Wahusika huwa wanyama, ndege au mazimwi ambao huwa na uhusiano wa binadamu
- Huwa na funzo Fulani
- Huwa na mianzo maalum
- Hadhira hushirikishwa
- Huwa zimejaa chuku (1 x 5 = 5)
- Sifa za mtambaji bor
- Kuchangamsha ili kuteka akili za hadhira
- Kufahamu/kuielewahadhira
- Ufaraguzi-uwezo wa kuunda upya hadithi
- Ufahamu wa utamadumi
- Ucheshi na ukakamavu
- Kuelewa tabia ya watu (zozote 5)
-
- Kuboresha matamshi ya maneno
- Kufurahisha
- Kutofautisha maana ya maneno
- Kuchangamsha akili
- Huelimisha (zozote 5
-
- Huelimisha
- Kuburudisha
- Kukashifu maovu
- Kuelekeza
- Kuhifadhi historiaa
- Kukuza ubunifu (mwalimu akadirie majibu) (zozote 5)
- Sifa za ngano
Download KISWAHILI Marking scheme - Form 2 End of Term 1 2019 Examinations.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students
Join our whatsapp group for latest updates