KISWAHILI Marking scheme - Form 2 End of Term 1 2019 Examinations

Share via Whatsapp
  1. UFAHAMU 
    1. Pornographia/hatari za pornographia
    2.  
      • Kuimarika kwa vyombo vya teknonolojia ya habari na maasiliano.
      • Makundi mbalimbali ya watu wanaobuni na kutengeneza kazi hii.
      • Kutosheleza ashiki                                                                  (zozote 2 x 1 = 2)
    3. Huwiga/huiga wanayoyaona na kuyasikia.
    4.  
      • Picha za matusi hudumishwa katika kumbukumbu zao
      • Kuibuka ishara na lugha inayohusiana na ngano.
      • Huandamana na maovu mengine.
      • Huzifanya nishai na hisia za watu kuwa butu                             (zozote 4 x 1 = 4)
    5.  
      • Kuongeza ufahamu wa umma kuhusu uovu wapicha hizi
      • Watu wazima huwajibika kuwalinda na kuwahimiza vijana wale wenye midahalishi kutowaruhusu vijana kutazama uchafu
      • Sheria izuie utengenezaji wa uozo huo
      • Kuchukua hataua kali dhidi ya wanaoivunja                                (zozote 4 x 1 = 4)
    6.  
      1. Uchu- kutamanisana
      2. Wasijipweteke – washughulike/wamakinike
      3. Kula butu – kukosa hisia/pungukiwa na hisia
  2. MATUMIZI YA LUGHA
    1.  
      1. Sauti ni kipashio cha kimsingi katika uundaji wa neno Au Ni mlio unaotokea kutokana na mgusano au kukaribiana kwa alama za kutamkia (1 x 1 = 1)
      2. Nazali
        Hutamkiwa ufizini
        Ghuna                                                                                           (1 x 2 = 2)
    2.  
      1. Silabi wazi ni silabi ambayo huishia kwa vokali k.m ka-la-mu
      2. Silabi funge – silabi iishiayo kwa konsonanti k.m muk-ta-dha               (1 x 2 = 2)
    3. Onyesha mofimu katika neno lifuatalo;
      A             -           na         -       tu         -      pik       -       I     -       a
      nafsi                 wakati            kitendwa       mzizi            kauli         kiishio (1/2 x 6 = 3)
    4. Aina za nomino sentensini
      Juma – nomino ya pekee
      Mtoto-  nomino ya kawaida
      Maji –    nomino ya wingi
      Baraka - nomino ya dhahania                                                                (1 x 4 = 4)
    5.  
      1. Zile za kujengea hazijaletwa
      2. Mshale wake ulifungwa kwa unyowa weusi (2 x 2 = 4)
    6. Hali ya ukubwa wingi
      • Majia haya yanafaa zaidi kuliko yote                                                (1 x 2 = 2)

    7. Kuyakinisha
      1. Nilisikia kuwa alichapwa na kuumizwa
      2. Angetoka mapema angemsaidi (2 x 2 = 4)
    8.  Taja ngeli za nomino zifuatazo
      1. Maziwa –YA-YA
      2. Chai – I-I
      3. Kibyongo – A-WA                                                                            (1 x 3 = 3)
    9. Maana ya sentensi (tofauti)
      1. bila kubakisha
      2. bila kubagua/kuchagua/kuteua
    10.  
      1. Alasiri ya leo inapendeza – nomino
      2. Alimtembelea jana alasiri – kielezi                                    (1 x 2 = 2)
    11. Fungu la maneno lenye maana Fulani lakini maana hiyo si kamili (1 x 2 = 2)
    12. Chakula chote kililiwa na wachezaji (1 x 2 = 2)
    13. Ng’ombe – nomino
      Mweusi – kivumishi
      Atachijwa – kitenzi
      Leo- kielezi                                                                            (1/2 x 4 = 2)
    14. Ritifaa
      • Kubainisha sauti ya nazali k.m ng’ombe
      • Kuonyesha tarakimu ilioachwa ‘92
      • Kuonyesha silabi ilioachwa ‘kate                       (1 x 2 =2)
    15.  
      1. Ala tuli – ala za kutamkia ambazo hazisogei wakati wa kutamka sauti
      2. Ala sogezi – ala zinazosonga wakati wa kutamka sauti          (2 x 2 = 4)
    16. Matumiziya ‘ni’
      1. Kielezi cha mahali mfano; shuleni
      2. Kitenzi kishirikishi kipungufu. Mfano; hiki ni kitabu (1 x 2 = 2)
    17.  
      1. Magari yote hutiwa kithibiti mwendo
      2. Amechora na ametuzwa                                       (1 x 2 =2)
    18. Methali
      1. Zimwi likujualo halikuli likakwisha
      2. Angeruka juu kipungu hafikilii mbingu (1 x 2 =2)
    19. Maana mbili
      • Alipiga kwa niamba ya
      • Alinirushia mpira
      • Alinipiga kwa sababu ya mpira
      • Alitumia mpira kunipiga (1 x 2 =2)
    20. Maana ya misemo
      1. Kuvalia miwani – kujifanya huoni, Kulewa
      2. kuzunguka mbuyu     - kularushwa /hongo       (2 x 2 = 4)
    21. Viambishi awali   - viambishi ambavyo huangikwa kabla ya mzizi wa neno k.m alicheza, ali- kiambishiawal
      Kiambishi tamati - viambishi vinavyojitokeza baada ya mzizi wa neno k.m tutachezewa -  ew-a


  3. ISIMU JAMII
    1. Mawasiliano ya simu (2x 1 =2)
    2.  
      • Uchanganyi wa ndimi- kwani umelost
      • Lugha isiyo sanifu-mos
      • Sentensi fupi fupi- ukowapi?
      • Matumizi ya takriri- haloohaloo!
      • Hali ya kujibizana
      • Kuna kuuliza maswali
      • Matumizi ya muda mfupi kuepuka gharama
      • Yahusisha pande mbili-anayepigana anayepigiwa (4 x 2 = 8)
  4. FASIHI SIMULIZI
    1. Sifa za ngano
      • Huridhishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine
      • Maneno au vifungu vingi hurudiwarudiwa
      • Huwa na nyimbo
      • Wahusika huwa wanyama, ndege au mazimwi ambao huwa na uhusiano wa binadamu
      • Huwa na funzo Fulani
      • Huwa na mianzo maalum
      • Hadhira hushirikishwa
      • Huwa zimejaa chuku                                                        (1 x 5 = 5)
    2. Sifa za mtambaji bor
      • Kuchangamsha ili kuteka akili za hadhira
      • Kufahamu/kuielewahadhira
      • Ufaraguzi-uwezo wa kuunda upya hadithi
      • Ufahamu wa utamadumi
      • Ucheshi na ukakamavu
      • Kuelewa tabia ya watu                                                      (zozote 5)
    3.  
      • Kuboresha matamshi ya maneno
      • Kufurahisha
      • Kutofautisha maana ya maneno
      • Kuchangamsha akili
      • Huelimisha                                                                        (zozote 5
    4.  
      • Huelimisha
      • Kuburudisha
      • Kukashifu maovu
      • Kuelekeza
      • Kuhifadhi historiaa
      • Kukuza ubunifu (mwalimu akadirie majibu)                                              (zozote 5)
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI Marking scheme - Form 2 End of Term 1 2019 Examinations.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest