Kiswahili Paper 1 Questions And Answers - Form 3 Term 2 Opener Exams 2021

Share via Whatsapp

KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
MTIHANI WA KWANZA WA MUHULA
MUHULA WA PILI

MAAGIZO

  • Jibu maswali mawili.
  • Swali la kwanza ni la lazima.
  • Chagua swali moja kati ya maswali matatu yaliyobaki.
  • Kila insha isipungue maneno 400.

Maswali:

  1. Lazima:
    Andika mahojiano kati ya mwalimu mkuu na mzazi wa mwanafunzi aliyepotoka kimaandili. (ala 20)
  2. Rununu zimeleta madhara mengi kuliko faida. Jadili. (ala 20)
  3. Andika kisa kudhihirisha ukweli wa methali.
    ‘Nazi mbovu harabu ya nzima.’ (ala 20)
  4. Andika insha itakayomalizia kwa maneno haya. (ala 20)
    ‘……..nilipo yakumbuka maneno hayo ya mama, nilihisi laity ningalijua.

MAAKIZO

  1. MWONGOZO WA KUSAHIHISHA KARATASI 102/1Ni insha ya tahariri
    • Iwe na anwani
    • Utangulizi
      1. Mwanafunzi ataje/aeleze kina cha mahojiano
    • Mwili
      1. Mwanafunzi azingatie hoja hizi.
      2. Sababu au chanzo cha ukosefu wa nidhamu
      3. suluhu
    • Hitimisho/Mapendekezo:
      1. Mtahiniwa atoe njia mwafaka za kukabiliana na utovu wa nidhamu
  2.    
    • mwanafunzi azingatie pande mbili,faida na hasara.
      1. Faida
        • Mawasilano
        • Utandawazi
        • Urafiki
        • Kupunguza gharama agharabu za safari.
        • Kutuma pesa kupitia kwa simu n.k
      2. Hasara
        • Wizi wa kimtandao
        • Ponografia.
        • Watu kutumia pesa muhimu kwa kamari za simu n.k
  3. Nazi mbovu harabu ya nzima.
    • Ni insha ya methali;
    • Mwanafunzi abuni kisa kinachoeleza matumizi ya methali.
    • Methali hii hutumiwa kushauri watu kuwa mtu mmoja anaweza kuharibu wengine wazuri walio karibu naye.
  4.    
    • Ni insha ya mdokezo
    • Sharti mwanafunzi amalize kwa maneno aliyopewa.
    • Kisha kieleze hali ambapo mtu alinusurika kifo akiwa timboni aidha kwa kuporomokewA mchanga au kuvamiwa kama ilivyo kuwa Mandera ambapo wachimba migodi walivamiwa usiku wa manane na kundi la Alshabab na akapatikana miongoni mwa wafu
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions And Answers - Form 3 Term 2 Opener Exams 2021.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest