Maagizo
- Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima . Insha ya pili ichaguliwe kutoka vichwa vitatu vilivyobakia.
- Insha zako zisipungue maneno 400
- Kila insha ni alama 20.
- Wewe kama katibu wa kamati andalizi, katika hafla ya kutoa tuzo kwa wanafunzi bora katika mtihani wa K.C.S.E 2015. Andika barua ya mwaliko kwa wazazi na marafiki.
- Simu tamba(Rununu) zina manufaa mengi kuliko hasara. Jadli.
- Dau la mnyonge haliendi joshi.
- Uwanja ulifurika furifuri huku sauti ya mratibu ikipasua hewa…..Endelea.
MWONGOZO
-
- Hii ni baruia rasm
Ifuate muundo wa barua rasmi
Izingatie kiini/maudhui ya anwani – yaani itoe mwaliko.
Muundo (Barua rasmi) -
- Huwa na anwani mbili- anayetoa mwaliko n amwalikwa.
- Jina la anayetoa mwaliko na la anyealikwa.
- Hutaj amahali pa mwaliko/ sherehe itakapofanyika.
- Shughuli ya mwaliko.
- iku, tarehe, saa – huonyeshwa.
- Manjina ya waalikwa kama wasaidizi wa mgeni wa heshima yanaweza kuorodheshwa.
- Hii ni baruia rasm
- Hili ni swali la mjadala
- Mwanafunzi aangazie pande mbili za insha (upande wa kuunga mkono na kupinga)
- Ahitimishe kwa kutoa msimamo.
Manufaa- (Kuunga mkono) - Hurahisisha mawasiliano.
- Shughuli za kibiashara.
- Hujenga mahusiano.
- Chombo cha kuelimisha
Hasara- (Kupinga) - HUsababisha kudorora kwa maadili – ponografia miongoni mwa vijana.
- Uzembe – kupitia kwa arafa michezo n.k.
- Wakati mwingine hutoa habari zinazofaa kujulikana
- Huharibu mahusiano katika ndoa.
- Mtahini azingatie haja nyingine mwafaka.
Mwanafunzi akiengemea upande mmoja amepotoka.
- Swali hili ni la methali.
- Metahli in amaana kuw Dau (chombo) cha mnyonge hakifanikiwi (kwenda joshi)
- Maana ya ndani- jambo lolote analojaribu kufabnya mnyonge aghalabu halifanikiwi. –
- Mwanafunzi azigatie pande mbili- Dau la mnyonge na kueenda joshi.
- Hili ni swali la mdokezo.
Mwanafunzi aanzie kwa maneno aliyopewa kasha ayakukuze kuwa mtungo.
Download KISWAHILI Paper 1 Questions and Answers - Form 3 End Term 1 Exams 2023.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students
Join our whatsapp group for latest updates