Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 4 Term 1 Opener Exams 2021

Share via Whatsapp

KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
KIDATO CHA NNE
MUHULA WA KWANZA
SAA 1¾

MAAGIZO

  1. Andika insha mbili.Insha ya kwanza ni ya lazima.
  2. Chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia
  3. Kila insha isipungue maneno 400
  4. Kila insha ina alama 20

 

  1. Mhariri wa jarida la shule yako ameamua kuchapisha habari kukuhusu.Andika tawasifu juu ya maisha yako tangu utotoni utakayomkabidhi mhariri huyo.
  2. Pendekeza njia za kukabiliana na ongezeko la visa vya utovu wa maadili miongoni mwa vijana katika jamii.
  3. Andika kisa kinachooana na methali``mchelea mwana kulia hulia mwenyewe’’
  4. Andika insha itakayokamilika kwa maneno haya.Mshtakiwa alimwangalia hakimu kwa macho ya huruma,kisha akamwangalia mkewe na wanawe akatamani kuwaomba msamaha lakini hukumu ilikuwa imetolewa.

MAAKIZI
MWONGOZO WA KUSAHIHISHI

  1.    
    • Hii ni insha ya tawasifu
      1. Lazima insha iwe na kichwa
      2. Insha iandikwe katika nafsi ya kwanza umoja na kwa lugha nathari
      3. Mtahiniwa aandike juu ya maisha yake tangu utotoni hadi wakati uliopo
      4. Insha iwe na mpangilio mzuri kimantiki

    • Baadhi ya hoja
      1. Majina yake
      2. Tarehe na mahali pa kuzaliwa
      3. Maisha ya utotoni (kabla ya kuingia shule)
      4. Maisha katika shule ya msingi
      5. Maisha katika shule ya sekondari
      6. Tazama: Mtahini akadirie hoja za mtahiniwa

  2.    
    • Vijana hujihusisha na visa vingi vinavyo onyesha utovu wa maadili.mifano,ulevi,matumizi ya dawa za kulevya,ngono,uavyaji mimba, lugha chafu,wizi,kupigana n.k
      1. Mtahiniwa apendekeze njia za kukabiliana na uozo huo.

    • Baadhi ya hoja
      1. Vijana wapewe ushauri nasaha
      2. Wajihusishe na michezo
      3. Wapewe mafunzo ya dini
      4. Nafasi za ajira ziongezwe
      5. Wazazi wawajibike katika malezi ya wanawe
      6. Wazazi wawe mfano bora kwa vijana
      7. Taz.Mtahini akadirie hoja za mtahiniwa

  3.  
    • Hii ni insha ya methali
      1. Maana ya methali;Mtu asiyetaka mwanawe alie huishia kulia yeye mwenyewe
      2. Methali hii huwanasihi wazazi wasichelee kuwadhibu watoto wao wanapokosea ili waishie kuwa na tabia na mienendo mizuri.
      3. Mtahiniwa atunge kisa ambacho kinalenga maana ya methali
      4. Mtahiniwa anaweza kueleza maana ya methali-si lazima
      5. Kisa kishughulikie pande zote mbili za methali.

  4. Hii ni insha ya mdokezo
    1. Lazima insha ikamilike kwa mdokezo

TAZAMA: kwa viwango mbalimbali vya utuzaji tafadhali rejelea mwongozo wa kusahihisha mtihani wa pamoja wa kaunti ndogo ya Kirinyaga ya kati -2019

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 4 Term 1 Opener Exams 2021.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest