Misamiati ya nyumbani
Nyumbani | Jikoni | Dirisha |
Mlango | Paa | Rangi |
Ukuta | Zulia | Kochi |

Tazama nyumba yetu, ni kubwa na nzuri. Nyumba yetu imejengwa kwa mawe na paa la mabati ya kisasa. Paa letu ni rangi nyekundu na la umbo mraba na pembe tatu. Kuta nazo ni za ajabu. Zinavutia kwa rangi nyeupe ya kupendeza. Kuta za sehemu zote ni za mraba. Mlango wa nyumba yetu umejengwa kwa mbao. Nyumba yetu ina madirisha matatu makubwa na mawili madogo.
Why PDF Download?
Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.