0 votes
1.9k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
edited by
Eleza mbinu mlumbi anazoweza kutumia ili afanikishe uwasilishaji wa ulumbi

1 Answer

0 votes
by
 1. matumizi ya miondoko
 2. Matumizi ya mada zinazoafikiana na utamaduni wa hadhira
 3. Kuipaza sauti yake asike vyema
 4. Kuihushisha hadhira katika ulumbi
 5. Matumizi ya alama ka fimbo .
 6. Uvaaji wa malema
 7. Ufahamu wa visa vya kihistoria vya jamii husika
 8. Ujuzi wa kutumia masolugha/ishara
 9. Matumizi ya lugha fasaha katika ulumbi
 10. Kuwa na ukakamavu.
 11. Matumizi ya vichekesho
 12. Kuigiza ili kuibua hisia
 13. Matumizi ya vipera vingine vya fasihi simulizi kama vile methali, ngano, nyimbo n.k
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.2k answers

6 comments

590 users

...