0 votes
1.4k views
in Isimu Jamii by
Ni nini maana ya isimu jamii

13 Answers

0 votes
by
ni taaluma inayo chunguza uhusiano uliopo baina ya lugha na jamii.

haswa hushugulikia jinsi watu wanavyotumia lughakatika jamii.
0 votes
by
Ni taaluma inayochunguza matumizi ya lugha na jamii husika
0 votes
by
Ni taaluma inayochunguza uhusiano baina ya lugha na jamii

Related questions

0 votes
1 answer
asked Dec 26, 2021 in Isimu Jamii by DomitilaMboya
0 votes
1 answer
0 votes
0 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.3k answers

6 comments

590 users

...