Watch Video Lessons
  • Home
  • High School Notes
    • Mathematics
    • English
    • Kiswahili
    • Biology
    • Chemistry
    • Physics
    • CRE
    • IRE
    • Geography
    • History and Government
    • Agriculture
    • Business Studies
    • Computer Studies
    • Home Science
  • Past Papers
    • KCSE
    • PRE-MOCKS
    • MOCKS
    • National Schools Past Papers
    • High School Term Past Papers
    • KCSE Prediction Papers
    • Topical Revision Questions and Answers
  • Primary School Materials
    • Play Group: Activities, Homework and Syllabus
    • Pre-Primary One - PP1: Activities, Homework and Exams
    • Pre-Primary One - PP2: Activities, Homework and Exams
    • CBC Grade 1: Subjects, Syllabus and Exams
    • CBC Grade 2: Subjects, Homework and Exams
    • CBC Grade 3: Exam Papers, Syllabus and Subjects
    • CBC Grade 4: Exam Papers, Syllabus and Subjects
    • STD 8 Past Papers
    • Biology
    • Chemistry
    • Kiswahili
    • English
    • Mathematics
    • Business
  • Schemes of Work
Featured:
ACIDS, BASES AND INDICATORS - Form 1 Chemistry Notes - Wednesday, 23 January 2019 09:15
AIR AND COMBUSTION - Form 1 Chemistry Notes - Tuesday, 22 January 2019 09:04
INTRODUCTION TO CHEMISTRY - Form 1 Chemistry Notes - Friday, 11 January 2019 13:43
SIMPLE CLASSIFICATION OF SUBSTANCES - Form 1 Chemistry Notes - Thursday, 17 January 2019 08:43
WATER AND HYDROGEN - Form 1 Chemistry Notes - Tuesday, 22 January 2019 12:34

Mofimu - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes

Share via Whatsapp
  • Be the first to comment!
« Previous - Sauti za Kiswahili - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes Viambishi - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes - Next »
Download PDF for future reference Install our android app for easier access
  • Utangulizi
  • Aina za Mofimu
    • Mofimu Huru
    • Mofimu Tegemezi

Utangulizi

  • Mofimu ni sehemu ndogo zaidi ya neno inayowakilisha maana ya neno hilo. Mofimu inaweza kuwa silabi moja au zaidi.

Aina za Mofimu

Kuna aina mbili za mofimu:

  • Mofimu huru
  • Mofimu Tegemezi

Mofimu Huru

  • Mofimu huru ni silabi moja au zaidi yenye maana kamili ya neno na inaweza kujisimamia yenyewe bila msaada wa viambishi au silabi nyingine. Aghalabu mofimu huru huwa nomino, vivumishi au vielezivisivyochukua viambishi vya ngeli. Kwa mfano:daktari, ndoa, nyumba, Miranda

Mofimu Tegemezi

  • Mofimu tegemezi ni mofimu ambazo huhitaji viambishi au mofimu nyingine tegemezi ili kuleta maana iliyokusudiwa. Mofimu hizi hujumuisha hasa mzizi wa neno (au shina la kitenzi), vivumishi, nomino au vielezi ambavyo vinahitaji viambishi viwakilishi vya ngeli ili kutoa maana iliyokusudiwa.
  • Shina la kitenzi au mzizi wa neno au kiini cha kitendo ni sehemu ndogo zaidi inayosimamia kitenzi chenyewe bila mnyambuliko, nyakati au viambishi vinginevyo. Viambishi ni mofimu tegemezi ya silabi moja inayowakilisha dhana fulani kama vile hali, ngeli, nafsi, wakati na kadhalika.

    k.m:
    1. mtangazaji => m-tangaz-a-ji
      m => mofimu ya ngeli ya M-WA kwa umoja
      tangaz => mzizi wa neno, kiini cha kitendo cha kutangaza
      a => kiishio cha kitenzi
      ji => inaonyesha kazi au mazoea
    2. wametusumbua => wa-me-tu-sumbu-a
      wa => kiambishi kiwakilishi cha nafsi ya tatu wingi
      me => kiambishi cha wakati timilifu
      tu => kiambishi kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi - kitendewa/mtendwa
      sumbu => shina la kitendo cha kusumbua
      a => kiishio
    3. wakulima => wa-ku-lim-a
      wa => kiambishi kiwakilishi cha ngeli ya A-WA wingi
      ku => kiambishi cha KU ya kitenzi jina
      lim => mzizi wa kitendo cha kulima
      a => kiishio

Please download this document as PDF to read all it's contents.

Why PDF Download?

  • You will have the content in your phone/computer to read anytime.
  • Study when offline.(No internet/data bundles needed.)
  • Easily print the notes to hard copy.

Either

Click here to download the pdf version of "Mofimu - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes", and read the full contents of this page

OR

CLICK HERE to get "Mofimu - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes" on Whatsapp

OR




Read 902 times Last modified on Wednesday, 11 November 2020 09:40
Ask a question related to this topic in the comment section below.

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.

« Previous - Sauti za Kiswahili - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes Viambishi - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes - Next »
Print PDF for future reference Join our whatsapp group for latest updates
Published in Sarufi na Matumizi ya Lugha
Tagged under
  • Kiswahilinotes

Related items

  • Insha ya Ripoti - Kiswahili Insha Notes
  • Insha ya KumbuKumbu - Kiswahili Insha Notes
  • Wasifu - Kiswahili Insha Notes
  • Uandishi wa Memo - Kiswahili Insha Notes
  • Barua za Mdahilisi/Pepe - Kiswahili Insha Notes
back to top

EasyElimu Banner

Join our telegram group Download Notes

  • KCSE Revision Questions
  • Privacy Policy
  • Mobile App Privacy Policy
CSS Valid | XHTML Valid | Top | + | - | reset | RTL | LTR
Copyright © Dailynews 2021 All rights reserved. Custom Design by Youjoomla.com
Sarufi na Matumizi ya Lugha