Shadda na Kiimbo - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes

Share via Whatsapp


Utangulizi

 • Shada(Shadda) na Kiimbo ni namna ya kutamka neno au fungu la maneno kwa namna tofauti kuleta maana mbalimbali


Shadda/Shada

 • Mkazo unaowekwa kwenye silabi fulani ya neno ikiwa imetamkwa kwa msisitizo.
 • Silabi ni tamko moja katika neno/herufi moja au zaidi ambazo hutamkwa pamoja
 • Alama ya ritifaa hutumiwa kutambulisha shadda
 • Huwekwa kwenye silabi ya pili kutoka ya mwisho, kwenye vitenzi vishirikishi vya silabi moja au kubadilisha maana ya neno
  k.m.
  - ka'lamu, i'mba, thu,mni, 'leta n.k.
  - Kitabu 'ki mezani
  - Bara' bara (njia), ba'rabara (sawa sawa), wala'kini (lakini), wa'lakini (kasoro/dosari/ila)


Kiimbo

 • Jinsi sauti inavyopanda na kushuka mtu anapoongea.
 • Huibua maana halisi ya maneno yanayosemwa kama ifuatavyo:

  Sentensi za taarifa
  - Mtoto anaandika barua.

  Sentensi za maswali
  - Mtoto anaandika barua?

  Sentensi za mshangao
  - Mtoto anaandika barua!

  Sentensi za amri
  - Kachezeeni nje!

  Sentensi za rai/ombi
  - Nisaidi
  e/eni.

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shadda na Kiimbo - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest