Print this page

KCSE 2010 Kiswahili Paper 1 Questions with Marking Scheme

Share via Whatsapp
  1. Insha ya lazima:
    Andika wasifu wa ndugu yako ambaye amepanga hafla ya kuchangisha pesa za kugharamia masomo ya Chuo Kikuu.

  2. Eleza hatua zinazochukuliwa na serikali kupambana na ufisadi hapa nchini.

  3. “Wakenya hawawezi kuafikia umoja wa kitaifa iwapo watendelea kutumia lugha zao za kienyeji.” Jadili.

  4. Binadamu ni ngamba hakosi la kuamba.
Join our whatsapp group for latest updates

Download KCSE 2010 Kiswahili Paper 1 Questions with Marking Scheme.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Read 5570 times Last modified on Monday, 22 November 2021 09:19

Related items

Get on WhatsApp Download as PDF