Kiswahili Paper 1 Questions - Catholic Diocese of Kakamega Mock Exams 2023

Share via Whatsapp


MAAGIZO

  1. Andika insha mbili. Insha ya KWANZA ni ya LAZIMA
  2. Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia
  3. Kila insha isipungue maneno 400
  4. Kila insha ina alama 20
  5. Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili
  1. Lazima
    Wewe kama katibu wa chama cha wanahabari chipukizi shuleni mwako umepata nafasi ya kumhoji katibu katika wizara ya Habari na mawasiliano nchini kuhusu athari ya mitandao na utandawazi kwa jamii. Andika mahojiano hayo.
  2. Maovu ya kijamii yamekithiri sana miongoni mwa vijana. Eleza chanzo na upendekeze hatua zinazofaa kuchukuliwa ili kusitisha maovu haya.
  3. Tunga kisa kinachodhihirisha maana ya methali ifuatayo:
    Gae huwa chombo wakati wake.
  4. Tunga kisa kitakachomalizika kwa maneno yafuatayo:
    Nilijitoa mhanga licha ya vizingiti nilivyokumbana navyo. Msaada wangu ulizaa natija kwa mkasa uliowapata wahasiriwa.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions - Catholic Diocese of Kakamega Mock Exams 2023.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?