0 votes
1.1k views
in Chozi la Heri by
a.Eleza muktadha wa dondoo hili?                                              b.  Kwa kurejelea riwaya ya chozi la heri,eleza namna wahusika mbalimbali walivyoumwa na nyoka .

1 Answer

0 votes
by
a.Maneno haya ni ya mwandishi
Akimrejelea ridhaa
Ridhaa alikuwa katika uwanja Wa ndege wa Rubia
Ridhaa alikuwa anahofia kurudi Kwa mwangeka kuwa alikuwa anataka arudi akiwa hai Kwa vile alipoteza aila yake
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...