0 votes
1.9k views
in Chozi la Heri by

"Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kito?"

a)eleza muktadha wa dondoo

7 Answers

0 votes
by
Ridhaa na mwana wake Tila walikuwa wanajadiliana kuhusu umilikaji wa ardhi na wakoloni hata baaada ya Kenya kupata uhuru 

0 votes
by
Hii ni fikra za ridhaa. Akiwa pahali nyumbake ilikuwa imeteketea
0 votes
by
Maneno ya Terry akimwambia Ridaa wakiwa kwa
0 votes
by
Terry alimwambia ridhaa
0 votes
by
Ni fikra ta ridhaa akiwa Kwale nyumbani

0 votes
by
Maneno  ya Ridhaa
0 votes
by
Haya ni maneno ya Ridhaa mawazoni mwake
Akimrejelea TILA 
Akiwa katika gofu la nyumba yake
Hii ni baada ya TILA na Ridhaa kujadiliana kuhusu maisha ya vijana
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...