0 votes
784 views
in Chozi la Heri by
"Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kito?"
a)eleza muktadha wa dondoo

4 Answers

0 votes
by
Ridhaa na mwana wake Tila walikuwa wanajadiliana kuhusu umilikaji wa ardhi na wakoloni hata baaada ya Kenya kupata uhuru 

0 votes
by
A
0 votes
by
Hii ni fikra za ridhaa. Akiwa pahali nyumbake ilikuwa imeteketea
0 votes
ago by
Maneno ya Terry akimwambia Ridaa wakiwa kwa
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.4k questions

5.8k answers

8 comments

590 users

...