0 votes
1.1k views
in Chozi la Heri by

1 Answer

0 votes
by
Mauti
Hii ni hali ya kuiaga dunia wahusika wengine wanakutana na janga hili la mauti, ilhali wengine walio wakuu hawapatani nalo.

Uk 2;Mamake Ridhaa aliiaga dunia na Ridhaa anakumbuka jinsi mamake alivyokuwa akimwambia "Moyo wa Ridhaa ulipiga kidoko ukataka kumwonya dhidi ya tabia hii ya kike ya kulia Pindi mtu akabiliwapo na vizingiti ambavyo ni kawaida ya maisha, ukamkumbusha maisha maneno ya marehem mama yake siku za urijali wake "
Terry na wana wake wanakumbana na janga la kifo baada ya kuchomwa wakiwa ndani ya nyumba yao. Uk 3,"uuuui!uuuui!jamani tuisaidieni!uuuui!uuuui! Mzee Kedi usituue!sisi tu majirani!maskini wanangu!maskini mume wangu!"
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...