0 votes
239 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Nini maana ya viwakilishi?

4 Answers

0 votes
by
Viwakilishi vya Nomino ni maneno yanayotumika badala ya nomino. Kiwakilishi hakiwezi kuambatanishwa na nomino inayorejelewa.
0 votes
by
Fasihi

0 votes
by
Meno linalotumiwa badala ya nomono

0 votes
by
- majibu yaliyo pewa si ya ukweli.
- jibu ni viwakilishi ni neno linalotumika kuzungumzia nomino bila kuitaja nomino enyewe.
kwa mfano;huyu anapenda sana kulalamika.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.5k questions

6.7k answers

6 comments

590 users

...