0 votes
1.3k views
in Chozi la Heri by
Baada ya dhiki faraja Onyesha ukweli was methali hii unavyodhihirika kwenye riwaya ya Chozi la Heri

2 Answers

0 votes
by
Baada ya Ridhaa kuchomewa Aila yake anaweza kuinika Na kuendelea Na Maisha yake Na kupata Aila nyingine kupitia Kwa mwangeka
Umulkheri baada ya wanuna wake kutekwa nyara Na sauna Na baadaye kuhangaiika mitaa anapata familia Mzuri Na anapatana Na wanuna wake baadaye
Baada ya zohali kupachikwa mimba Na kupotea Kwao anapata Na mtawa pacha ambaye anamsaidia kujiunga Na shule.yq upili ya tangamano ili kuendelea Na Masomo yake


0 votes
by
Ridhaa aliweza kuwa n dhiki baadae akapata faraja.Dick n mwaliko waliweza kipoteanwa n nduguze baadae walipatana katika hoteli la majaliwa
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...