0 votes
560 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza matumizi mawili ya kiambishi ji

3 Answers

0 votes
by
Hi hutumika katika wastani mfano, kijibwa

0 votes
by
Utumika kwa ukubwa;kwa mfano jibwa
0 votes
by
Ni kiambishi katika ngeli ya li-ya mfano;jino,jicho
Hutumika katika ukubwa WA nomino mfano;jibwa
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...