0 votes
391 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
ainisha vishazi katika sentensi hii Babu aliyenunua kiatu kizuri kilichoibiwa juzi ameaga

2 Answers

0 votes
by
Baba aliyenunua kiatu juzi ameaga -kishazi huru
Kizuri kilichoibiwa juzi -tegemezi

0 votes
by
Babu aliyenunua kiatu kiziri -kishazi huru
Kilichoibiwa juzi ameaga _kishazi tegemezi

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...