0 votes
1.9k views
in Kigogo by

“nilijua ninawaponza,nilijua ninawapunja nilijua ninawadharau....lakini nilimezwa na tamaaa."

  1. eleza mukutadha wa dondoo hili
  2. bainisha vipengele viwili vya kimtindo katika dondoo hili
  3. fafanua umuhimu wa mzungumzaji katika kuvijenga vipengele vifuatavyo vya tamthilia hii
    • ploti
    • maudhui
  4. jadili mchango wa wasomi katika hali ya maisha ya wanasagamoyo

3 Answers

0 votes
by
Msemaji Ni Asiya.anaongea akiwa amejiangusha miguuni mean Tunu jukwani.Anatubu na kujuta kuuzia wanasagamoyo pombe haramu amefika pale kuomba msamahana ulinzi

0 votes
by
Question b
0 votes
by
Banisha vipengele viwili vya kimtindo katika dondoo hili
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...